lyinga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 2,494 Reaction score 1,057 Sep 8, 2014 #2 No 1and 3 enzi hizoooo
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Sep 8, 2014 #3 4.inanihusu
Mu-Israeli JF-Expert Member Joined Mar 21, 2012 Posts 2,454 Reaction score 975 Sep 8, 2014 #4 Enzi hizo Nokia 3210 na 3310 (kwenye picha namba 1) ndio zilikuwa 'mpango mzima'.
Mu-Israeli JF-Expert Member Joined Mar 21, 2012 Posts 2,454 Reaction score 975 Sep 8, 2014 #5 Nakumbuka hii Siemens ofisini kwetu zilikua kwa ajili ya 'wazito' tu enzi hizo za Tritel.
S SI unit JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,953 Reaction score 767 Sep 8, 2014 Thread starter #6 Kwenye no .3 ulikua unafanya hivi lyinga said: no 1and 3 enzi hizoooo Click to expand...
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,761 Sep 8, 2014 #7 simu namba tatu nilipewa zawadi wakati namaliza form four
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 62,101 Reaction score 127,848 Sep 8, 2014 #8 miss neddy said: simu namba tatu nilipewa zawadi wakati namaliza form four Click to expand... Hahaha...mi namba 5 nilipewa zawadi ya kufaulu kwenda form five
miss neddy said: simu namba tatu nilipewa zawadi wakati namaliza form four Click to expand... Hahaha...mi namba 5 nilipewa zawadi ya kufaulu kwenda form five
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Sep 8, 2014 #9 Namba 3 inanihusu, ilikuwa simu yangu ya kwanza kumiliki
ladyisa JF-Expert Member Joined Aug 23, 2014 Posts 660 Reaction score 149 Sep 8, 2014 #10 nakumbuka nkiwa 1st year nlipopata boom langu la kwanza ..kitu cha kwanzs kununua ilikuwa ni simu .hiyo no 5.
nakumbuka nkiwa 1st year nlipopata boom langu la kwanza ..kitu cha kwanzs kununua ilikuwa ni simu .hiyo no 5.