Enzi hizo

Kwanza inavaliwa chupi ,inakuja underskirt halafu sketi,ni kero Sana Kwa sisi mabaharia wa fasta fasta
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hiii bora mkuu kuna ile inaitwa SKINTIGHT ambazo skuizi ndo wanatembelea barabarani

Zile zilikua ni balaa kwa mabaharia

Yani mpaka avue alafu ndani anachupi tena alooo[emoji2][emoji2]
 
Inaitwa "Gagulo"!! Nakumbuka niliinunuaga tsh 2000 nikampelekea shemeji yenu miaka ya nyuma hukooo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…