katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Nalea saivi eti so pole bia nasikilizia bombaniKula bia wewe ubavu hauta kusaidia kitu ๐
NimepataKama hujapata nipo hapa mamaa!!๐
Duh na kakidi ushaachiwa!!?Nalea saivi eti so pole bia nasikilizia bombani
๐คช๐Nimepata
Umenifurahisha ila humu wapo utapata tuna ambao hatuna hata ubavu wa kulia ukiachana na wa kushoto tu comment hapa hapa ?
AsanteeHongera sana katoto kazuri.
Mungu akutangulie katika maisha yako.
Sasa nimeolewa na mkali wenu akiniua itakuwaje ila asante nimeliweka akilini๐คช๐
Naweza kuwa chepuko lako katoto kazuri....๐
Natumai litafanyiwa kazi..๐Sasa nimeolewa na mkali wenu akiniua itakuwaje ila asante nimeliweka akilini
Ndio sio mtu mmeKwa hiyo kashapatikana mtu?๐๐
Ushindwe kabisaa wewe ndio utapewa na mkeo kipigoo kama wanaume wanaume wa kenyaBaada ya miaka 5 jiandae kupata vipigo vya hapa na pale