Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*
Enzi hizo shule kuna wanafunzi walikuwa wanaandika topic kwa kalamu nyekundu, sub topic kalamu ya nyeusi, na notes kalamu ya bluu.
Sijui mko wapi siku hizi, au mlipata kazi sadolin?*












Wako wanamix rangi kwa kutumia computer kama wanavyojitangaza wenyewe