Enzi hizo

Hapo nmejificha na mchumba wangu rehema mpk kombolela linaisha hatujui
 
nilishawahi kupigwa jiwe la tumbo kisa makelele alienipiga alijua kauwa! maana lilikuwa jiwe la maana nilihairisha harafu wenzangu wakawa bado wamejificha kuwaita hawaitiki upuuzi nikawaachia kopo wenyewe wamejificha tu ha ha ha sijui hata walitoka saangapi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…