yaaaah,..nakumbuka enzi hizo nakunywa soda kwenye very special event au sikukuu kubwakubwa,,..then ukishakunywa sasa kucheua unaziba pua,....ahahahahahahaa
Afadhali yenu, mimi mdingi alikuwa na vipakti vya super dip ndani, ukisema unaumwa tu kinachanwa then anapima robo ya unga wa superdip kwenye kipakti then anachanganya na maji lita tano then anakuachia upige nalo mieleka tani yako. Wakati mwingine vipakti kikikaribia kuisha na hana hela then unaweza kuta kipakti kimoja unanywe ndoo mbili za lita 20 za maji.