Enzi hizo za simu hizi

Enzi hizo za simu hizi

Hii ni simu yangu ya kwanza 1998
 

Attachments

  • 1439894991610.jpg
    1439894991610.jpg
    8 KB · Views: 207
Hahahahahaa mkuu umenikumbusha mbali sna natumwa dukani kununua celtel dola 2 hapo hakuna kujiunga ni kupiga na kutuma message bila vifurushi

Tulikuwa hatupigi maana dola huwa zinaisha haraka sana, tuliishia kubeepiana tu
 
Back
Top Bottom