enzi hizo tukiwa shule ya msingi au sekondari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

enzi hizo tukiwa shule ya msingi au sekondari

Discussion in 'Jamii Photos' started by Watu8, Aug 15, 2012.

 1. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,312
  Likes Received: 2,601
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Enzi hizo ukiwa "Time keeper" au mtunza muda unakuwa unapata heshima kama tu ilivyokuwa kwa viranja, utaalamu wa kubuni aina ya ugongaji kengele "rim ya gari" kwa ufanisi na madoido ndio ilikua ni ujanja kinoma...
   

  Attached Files:

 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  sie shule yetu ilikuwa na kengele ya umeme
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,312
  Likes Received: 2,601
  Trophy Points: 280
  wapi hiyo Ilboru au?
   
 4. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,575
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ..... hivi time keeper alikuwa anananuliwa saa na shule ?
   
 5. peri

  peri JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mkuu umenikumbusha mbali sana, moja ya kumbukumbu tamu ktk maisha.
   
 6. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee baba yangu umenikumbusa karne ya 18 kwani haya mambo bado yapo karne hii

  ngoja nikachume kahawa
   
 7. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Watu bana,kwa kupeenda kujifagilia! uspime!
   
 8. Azikiwe

  Azikiwe Senior Member

  #8
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapana lakini ukiwa na saa yako ni moja ya vigezo vya kuteuliwa kuwa time keeper
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,312
  Likes Received: 2,601
  Trophy Points: 280
  kigezo kilikua ili uwe time keeper lazima utafute saa...enzi hizo zilikua ni zile saa za kuwaka waka "disco"
   
 10. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,312
  Likes Received: 2,601
  Trophy Points: 280
  kweli mkuu kuna baadhi ya shule zina kengele za umeme, mathalani shule ya sekondari Ilboru miaka hiyo sijui kwa sasa
   
 11. paty

  paty JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  yule mwanafunzi mtoro zaidi, alikuwa anakabidhiwa kazi ya time-keep , yaani asipokuwepo tu , mwalimu mkuu anajua kirahisi sana
   
 12. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Tabora school tulikua tunatumia ya umeme
   
 13. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Sasa sasa saa ya kwenda kwetu. Kwaheri mwalimu kwaheri, tutaonana kesho...
   
 14. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Umeme ukikatika hamtoki darasani...
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  Hata sasa zipo sana tu.
   
 16. unknown animal

  unknown animal JF-Expert Member

  #16
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ilikuwa ikigongwa hiyo ni hataree coz yale mambo ya ukaguzi ndo yanaanza,tusio na soksi sasa weeeeeeeee,
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahahahah lol umenikumbusha
  mi nilikuwa "timekeeper" shule ya sekondari Gidas miaka hiyo lol
   
 18. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #18
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145

  agh kumbe ndo wewe umebadilika sana sasa hivi..uzuri umeongezeka
   
 19. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #19
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  uzuri gani tena huo ndugu yangu??
  kama ulisoma Gidas ni PM..
   
Loading...