Enzi hizo P funk alikua the best producer kwa bongo fleva kwa sasa atakua nani

Hapo ni sawa unamuulizia nani kama gaucho kwa simba na yanga.

NIkiwa namaanisha. Kuna maproducer wabunifu na wale wakuchop kazi zilizokwisha fanyika. midundo ya kiongo flava adim sana ndio maana naweza sema bongo kwa miaka hii hakuna hit beat kama nikusaidiaje ya jay au tamala ya hard mad.

Ila kuna kitu hamkijui kuhusu P funk., yeye ni mzuri sana ktk sound ila si beat maker kivile, hit zake nyingi zina beat maker wengi tuu so studio zilivyokuwa nyingi wengi wakamuacha alone.

Mfano mikasi ya ngwear ni prof ludigo. Mtazamo ni bizzman, she got agwan kuna mzungu kichaa, zipo kazi za ramar, soggy na wengineo kibao
 
Hivi nyimbo za Wagosi wa kaya zilikuwa hazipigwi Redioni?

University Corner nyimbo zao zilikuwa hazipigwi redioni?
Haaaaa wacha uongo kijana....
Kila mmoja anaipenda T-SHIRT NA JEANS, hakuna inaemchukiza T-SHIRT NA JEANS, sitaweza kuiacha inanitoa chicha na ninawakilisha T-SHIRT NA JEANS.
2.KUA UYAONE
 
Hapo ni sawa unamuulizia nani kama gaucho kwa simba na yanga.

NIkiwa namaanisha. Kuna maproducer wabunifu na wale wakuchop kazi zilizokwisha fanyika. midundo ya kiongo flava adim sana ndio maana naweza sema bongo kwa miaka hii hakuna hit beat kama nikusaidiaje ya jay au tamala ya hard mad.

Ila kuna kitu hamkijui kuhusu P funk., yeye ni mzuri sana ktk sound ila si beat maker kivile, hit zake nyingi zina beat maker wengi tuu so studio zilivyokuwa nyingi wengi wakamuacha alone.

Mfano mikasi ya ngwear ni prof ludigo. Mtazamo ni bizzman, she got agwan kuna mzungu kichaa, zipo kazi za ramar, soggy na wengineo kibao
nimekupata sana hadi Jmo alikua anaingiza mikono yake
 
Hivi nyimbo za Wagosi wa kaya zilikuwa hazipigwi Redioni?

University Corner nyimbo zao zilikuwa hazipigwi redioni?
Haaaaa wacha uongo kijana....
Kazidisha chumvi, ila alitaka kumaanisha hits nyingi zilikuwa zinapitia kwa Majani. Kuna wasanii wengine wengi tu walitoka bila kupita kwa Majani mfano Wagosi wa kaya (Tanga kunani-MJ), Mr Ebbo (Mi Mmasai-MJ) Mwanafalsafa (Ingekuwa vp-Mawingu), Daz Nundaz (Kamanda-Mika Mwamba), Lady JayDee (Machozi-.....), (Zay B - Gado original-MJ), Inspekta Haroun (Mtoto wa geti Kali -.....), HBC - (Chemsha bongo-....), Kosa la marehem (Uswahilini Matola-....), GK (Sista sista-MJ), AY (Ni raha tu Original-MJ), Noorah (Vijimambo-MJ), Caz T (Nakuhitaji-MJ),Mr Paul (Zuwena-MJ), Joh Walker (Walimu-MJ), Nyimbo za Sugu karibu zote (MJ/Ludigo). Hizo ni baadhi tu ya nyimbo zilizohit na kuwatoa wasanii bila ya mkono wa Majani
 
Waandaaji wa muziki wa sasa hovyo kweli..midundo haina ubora kabisa..

Hebu muangalie huyu sijui anajiita "mensen selecta" nyimbo anazotengeneza ni kama kelele za vibakuli na vijiko kabatini.. Midundo haijachujwa kabisa iko rafu rafu tu.. Majani ataendelea kubaki bora tu!
 
Majani ni sound engineer na alisoma Holland way back sio mzuri Sana wa kutengeneza beat ila kwenye mixing jamaa ni hatari sana,wengi walipita hapo kufanya kazi kama bizman,ludingo na hata Lamar amepita mikononi kwake ,alichokuwa hataki ni wasanii wabovu kama sasa mziki umekuwa wa hovyo sana angalia nyimbo zilizopita kwake zinaishi mpaka Leo tofauti na nyimbo nyingi za kisasa
 
P wa majani ni producer mzuri sana na atabaki daima katika historia ya muziki Tanzania, kwa sasa hakuna maproduza wengi ni beat maker.

Mtu anacheza ma software tu hata idea ya muziki hana. Producer anaset studio, anaproduce anafanya mastering ama edit nk. Wasasa hata ukimpa kinanda cha mtoto apigi.

Pamoja na P, Mater J pia alitesa sana enzi zake na nyimbo kali. kulikuwa naaproducer nyuma ya akina P funk ma master J kama biz man huyu ndio mpiga vinanda wao.

John Mahundi/Ludigo hawakuwa nyuma.

Kuna producer wengi hawamtaji Tanzania alikuwa hatari sana, midundo yake haijapata tokea duniani na bahati mbaya ajaacha urithi.

Marehemu Roy, sijawai ona zile beat zilikuwa unique. Moja kati ya nyimbo zake kali na beat adimu ni

MAPOZI -MR BLUE
BARIDI KAMA HII - ENIKA
CHUNGWA - PARKLANE

Na nyingine kibao, bwana acha wimbo kick moja hapa ya pili kule na bado inanata, Sikiliza nyimbo hizo utamjua Marehemu Roy wa G rekods

Mwisho niseme ma producer hawatajwi sana ila wana nafasi kubwa katika kuubeba wimbo nmeandika hii mara nyingi.

Kwa mfano, wimbo wa sasa wa Darasa pamoja na kuimba vema, 50% iende kwa produza wake

Mr Nice alibebwa sana na Kameta na midundo adimu, alipotoka kwa Kameta hakuna aliempatia mpk leo, hata Mr blue alikuwa akibebwa sana na beat za Marehemu Roy.

Nature na Beat za P funk, lakini kuna MB doggy hawa jamaa pamoja na kuwa wazuri studio zao ziliwabeba sana maana waliwapatia, na walipohama tu studio husika ni wenda hit zao hazikuwa nzuri au walipotea kabisa.
 
kweli kabisa mzee jamaa alisumbua sana alikua kweli mbabe sana pombe nyingi na dharau angekua mbali sana kama angekua na professional discipline
umeona mkuu Tatizo wengi huwa tunalewa sifa alafu mtu anapofanikiwa anawaona wale waso fanikiwa kama wazembe ,hawajui kuwa mafanikio huja na mungu si mtu binafsi kwa jitihada zake

hili liwe somo kwa wanaoshine leo wajuwe wazi hawatan'gaa milele
 
Hivi nyimbo za Wagosi wa kaya zilikuwa hazipigwi Redioni?

University Corner nyimbo zao zilikuwa hazipigwi redioni?
Haaaaa wacha uongo kijana....
Nahisi una uwelewq mdogo katika mziki,wanaojua mziki na wasanii wamenielewa nini nimemaanisha

zamani ngoma kali zote lazima zitoke bongo rekodi ,ukiwa ni msanii mchanga na unataka urecodi basi ili ngoma yako ichezwe lazima iwe imetoka bongo record

unapowazungumzia hao wasanii tiyari walishatoka na wana majina

sasa nikiueleze kitu zamani Nyimbo redioni zilikuwa zinapigwa kwa majina wasanii wachanga ni ngumu kutoka maana inaangaliwa kazi hii kafanya nani

pia nazungumza haya maana nami nilikuwa kwenye hii industry so naijua kinyume nyume

Acha zarau mkuu hunijui so heshima kitu cha bure kama hujaelewa heri ukaniuliza si kila mtu umu anayecoment ukahisi anakurupuka kuandika tu
 
Hapo ni sawa unamuulizia nani kama gaucho kwa simba na yanga.

NIkiwa namaanisha. Kuna maproducer wabunifu na wale wakuchop kazi zilizokwisha fanyika. midundo ya kiongo flava adim sana ndio maana naweza sema bongo kwa miaka hii hakuna hit beat kama nikusaidiaje ya jay au tamala ya hard mad.

Ila kuna kitu hamkijui kuhusu P funk., yeye ni mzuri sana ktk sound ila si beat maker kivile, hit zake nyingi zina beat maker wengi tuu so studio zilivyokuwa nyingi wengi wakamuacha alone.

Mfano mikasi ya ngwear ni prof ludigo. Mtazamo ni bizzman, she got agwan kuna mzungu kichaa, zipo kazi za ramar, soggy na wengineo kibao
mkuu uko sahihi na kweli game la mziki unalijua
 
Back
Top Bottom