Enzi hizo kuvaa kijani(sare za CCM ) ilikuwa credit, sasa je?

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
472
250
Enzi hizo mambo yalikuwa mambo....ulikuwa unaweza kupanda daladala umevalia toka gombo la mboto hadi jangwani...siku hizi hata ukiwa na mapenzi na CCM kiasi gani huwezi fanya huo ujinga lakini mtu kuvaa sare ya chama cha upinzani unaonekana mjanja....unadhani nini kinaenda kutokea siku za karibuni....
 

laiza

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,065
1,195
ruv actvist hayo ni maono yako na inaelekea hutembei ukaona wewe.. hebu panda madaladala ya mbagala posta kila siku uhesabu waliovalia kijani ya CCM na waliovalia t-shirt za CDM...kila kona kijani usitudanganye hapa na kinachoenda kutokea kesho ni CCM kuzoa viti vingi kushinda wapinzani na ifikapo oktoba 2015 kushinda kwa kishindo
Enzi hizo mambo yalikuwa mambo....ulikuwa unaweza kupanda daladala umevalia toka gombo la mboto hadi jangwani...siku hizi hata ukiwa na mapenzi na CCM kiasi gani huwezi fanya huo ujinga lakini mtu kuvaa sare ya chama cha upinzani unaonekana mjanja....unadhani nini kinaenda kutokea siku za karibuni....
 

KIKOSIKAZI

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
2,224
2,000
wala haiitaji utafiti;nguo za kijan zinavaliwa na watu maskin zaidi na wasioenda shule!wanavaa sio kwa mapenzi yao,wanavaa kwan hawana nguo mbadala
 

LENGIO

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
1,092
1,250
Yanga wanavaa jezi zake wanapigwa tuu simba wanaona kama wanapiga ccm.
 

Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,370
2,000
Watanzania wa leo wamezinduka na hawadanganyiki tena kirahisi. Ccm wamejisahau mno na mbinu zao za kuhonga chumvi na tukofia twa ccm haviwezi kuwasaidia tena kupata ushindi. Vyama mbadala vimeweza kuleta mabadiliko kwa kiwango kifupi kulinganisha na ccm. Na ushindi wa simba leo ni ishara njema kwa ukawa kushinda. Tujitokezeni kwa wingi kuipigia kura ya hapana ccm hiyo kesho.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom