Hivi mabasi ya UDA yalikuwa yanaendeshwa na wazungu? Na hilo jengo hapo pembeni mwa hilo bus liko wapi hapa Dar? Nina wasiwasi hiyo ni kazi ya photo duka wanaita.
Tiba
hahahaaa,hii ilikua kiboko.Ukitoka mbeya kwenda Dar,hutaki kupanda la asubuhi,unapanda lile linaaondoka saa tatu usiku,ili upite mikumi kesho yake asubuhi uangalie wanyama.
mbona picha zenyewe sio za zamaki kivile. basi lina namba za T, alafu kunamshikaji anauza vocha za voda, tena its latest voda brand colour, mi sijaona uzamani wowote hapo.
Umeona eheee bora namba zingekuwa TZA au TZC!! Picha sio ya zamani kabisa!!
umejuaje???Mbona Bujibuji unatuletea lugha za kwenu ; mikambokambo ndio miti ya aina gani? Unamaana CYPRESS kwa kiingereza?
View attachment 121279
Hii Ndo zamani zetu
umejuaje???
Kuna misamiati mingine naona ina exist Mby tu