Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,584
- 553
nani mwenye lile gwaru la sh tano?
Madereva wa mabasi hayo walikuwa wanaheshimika sana, na walikuwa ni watu wazima tu na ndo maana ajali zilikuwa chache sana ukilinganisha na siku hizi.
hiyo ni nangulukulu a.k.a. mahakama ya samaki
Hilo lilikuwa basi la Railway likitoka Mbeya mpaka Itigi ; linapita Kipembawe na Makongorosi usiku na kuingia Itigi asubuhi kuwahi treni ya kwenda DAR au Kigoma au Mwanza!!!
Kwani lami NTWALA imewekwa lini?mbona picha zenyewe sio za zamaki kivile. basi lina namba za T, alafu kunamshikaji anauza vocha za voda, tena its latest voda brand colour, mi sijaona uzamani wowote hapo.
Halafu watu8 nakuvumilia tu, kuanzia lini DSM kuna mikambokambo? GreenCity, Baba V, ladyfurahia, strong lady na Jacaranda hebu njooni tushangae na kujiuliza
Halafu watu8 nakuvumilia tu, kuanzia lini DSM kuna mikambokambo? GreenCity, Baba V, ladyfurahia, strong lady na Jacaranda hebu njooni tushangae na kujiuliza
Haswa ni nangurukuru hujakoseanadhani ni nangurukuru!
Halafu watu8 nakuvumilia tu, kuanzia lini DSM kuna mikambokambo? GreenCity, Baba V, ladyfurahia, strong lady na Jacaranda hebu njooni tushangae na kujiuliza