Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
Kwenda Mtwara mnachukua siku tatu
mbona picha zenyewe sio za zamaki kivile. basi lina namba za T, alafu kunamshikaji anauza vocha za voda, tena its latest voda brand colour, mi sijaona uzamani wowote hapo.
juzi na jana ni zamani kwa watoto.hata juzi ni zamani ujue lol!
juzi na jana ni zamani kwa watoto.
nadhani ni nangurukuru!Nahisi hapa ni Msata? ooooops Akida ni ya Ntwala so itakua Njia Nne hapa
wala si zamani saaana!nimepanda huo mdunguli 2009!!Zamani kweli zamani!! ha!ha!
Nahisi hapa ni Msata? ooooops Akida ni ya Ntwala so itakua Njia Nne hapa
View attachment 121279
Hii Ndo zamani zetu