Enzi hizo bhana

Enzi hizo bhana

Hivi mabasi ya UDA yalikuwa yanaendeshwa na wazungu? Na hilo jengo hapo pembeni mwa hilo bus liko wapi hapa Dar? Nina wasiwasi hiyo ni kazi ya photo duka wanaita.

Tiba

Magari yalikuwa yanaendeshwa na wazawa kama ilivyokuwa kwa zile DAF za 'Railway' au wengine wakiita RTC...

Ni kweli hiyo picha haijapigwa Tanzania lakini hilo basi ni moja ya special order kwa ajili ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA)...

Utaratibu huu wa kuweka kabisa 'Trademark Logo' kabla ya chombo kuwa imported ni kawaida..jaribu kufanya research ndogo....

Kabla ya kuwaza ni kazi ya photoshop, umeangalia kama gari lina number plate au lah?

Umejiuliza kwa nini halina abiria hata mmoja ndani yake?

cc: Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa,hii ilikua kiboko.Ukitoka mbeya kwenda Dar,hutaki kupanda la asubuhi,unapanda lile linaaondoka saa tatu usiku,ili upite mikumi kesho yake asubuhi uangalie wanyama.

Njombe tulikuwa tunaondoka saa mbili asubuhi na kufika Iringa saa kumi na mbili jioni!
 
mbona picha zenyewe sio za zamaki kivile. basi lina namba za T, alafu kunamshikaji anauza vocha za voda, tena its latest voda brand colour, mi sijaona uzamani wowote hapo.

Umeona eheee bora namba zingekuwa TZA au TZC!! Picha sio ya zamani kabisa!!
 
275834651.jpg

kitu ya ikarusi....
 
Hapa ni posta mpya exactly lilipo St Alban's Church....mkono wa kulia na huo mti wa mkwaju upo hata leo

UDA.jpg
 
Back
Top Bottom