Enzi hizo bhana

Nahisi hapa ni Msata? ooooops Akida ni ya Ntwala so itakua Njia Nne hapa
 
Siku hizi Ntwara wako juu, maana huo usafiri wao wa mabasi angalau unatia moyo. Hapo hujakutana na Wifi Nae, Ng'itu asubuhi maeneo ya mandela Road yanavyokimbizana!
 
mbona picha zenyewe sio za zamaki kivile. basi lina namba za T, alafu kunamshikaji anauza vocha za voda, tena its latest voda brand colour, mi sijaona uzamani wowote hapo.
 
mbona picha zenyewe sio za zamaki kivile. basi lina namba za T, alafu kunamshikaji anauza vocha za voda, tena its latest voda brand colour, mi sijaona uzamani wowote hapo.

hata juzi ni zamani ujue lol!
 
Kuna dogo kwasasa anamiaka tisa(9) ananiambia "Zamani mimi nilivyokuwa mdogo nilikuwa napenda kulia".......................My take: Kila mtu anazamani yake...
 
Madereva wa mabasi hayo walikuwa wanaheshimika sana, na walikuwa ni watu wazima tu na ndo maana ajali zilikuwa chache sana ukilinganisha na siku hizi.
 
Hiyo mashine pale juu ikifyatuka hizi yutong huwa zinaona vumbi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…