Enyi Wanaume...Kitu Gani Kinakuvutia Zaidi kwa Wanawake????

Nasikia pia kwamBa eti saizi ya ***********inamata kwa wajihi wa opponent, ni kweli???[quote=jitegemee;3183253]nina experience nao hawa watu, nilianza na warefu ila siku moja jamaa akaniambia nijaribu mfupi, weh! Ndo nikaona utamu sijawahi ona, hadi leo mimi na wafupi tu.

We umewahi kuona mtu mrefu ana mikono mifupi au vidole vifupi au mguu mfupi? Mwili unakua kwa proportional ndugu yake, so hata ile kitu inakuwa si mchezo![/quote]
 
Usafi, cute face, soft and full lips, killing eyes, broad shoulders, nice average tits, flat stomach but nice hips and average butts, nice straight and average filled legs,and when it comes to toes and fingers, they shud be clean, straight long and average filled.
She has to be calm but live, the one when you are with her, time flies! Sense of humor is important. She has to be intelligent and understant real life. She has to be honest and god fearing.

And what do you have to offer for ALL that?
 
in your imagination unaweza mpata wa hivyo lakini tukija kwenye maisha halisi, humpati ng'oo!
 
nina experience nao hawa watu, nilianza na warefu ila siku moja jamaa akaniambia nijaribu mfupi, weh! ndo nikaona utamu sijawahi ona, hadi leo mimi na wafupi tu.

We umewahi kuona mtu mrefu ana mikono mifupi au vidole vifupi au mguu mfupi? mwili unakua kwa proportional ndugu yake, so hata ile kitu inakuwa si mchezo!
Wewe utakuwa Anduje wewe...! Siyo bure.
 
Nobody is perfect. Ukienda na mtazamo huo hutakaa umpate mwenye vigezo vyote hivyo.
Hivyo vitu havimfanyi mtu mkamilifu kwahiyo acha kujipotosha. Wapo watu wamejaliwa ucheshi, sura na maumbo mazuri, akili na wamejifunza kuwa wakweli maishani na bado wana vijiudhaifu vidogo vidogo. Ila inabidi nikubali kwamba sio wengi sana hivyo sishangai kama hujafanikiwa hata kuwa rafiki tu na mmoja wao, hata wa jinsi yako mwenyewe.
 
Tumbo dogo, hips za kutosha... Pungufu ya hapo, basi walau sura nzuri tu. Mi sina mavigezo meeengi, so navutiwa kirahisi tu...
 
Back
Top Bottom