Enyi Wanaume...Kitu Gani Kinakuvutia Zaidi kwa Wanawake???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Enyi Wanaume...Kitu Gani Kinakuvutia Zaidi kwa Wanawake????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Amavubi, Jan 22, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  85246.jpg
  73920_150330468345691_100001062158311_260156_1051379_n.jpg
  26173_386171829588_841309588_3677180_6715433_n - Copy.jpg
  Kumbukeni...............Women Looks Nice from Far BuT aCtUAlLy ThEy ArE fAr fRoM nIce!!!
   
 2. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  Mimi ni matumbo ya saizi na hasa wale wanaovaa vitopu nikiona vinyoya kdogo chini au juu ya kitovu napagawa............
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,748
  Trophy Points: 280
  God fearing gal is all I need.......................
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,748
  Trophy Points: 280
  looks are deceptive.....................they rarely tells you of what is in store for you in her heart where it matters most.................
   
 5. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Really? Aah umesema is all u NEED, lkn mtoa mada ameuliza anayekuvutia; au anayeweza kuamsha hisia zako za ngono (not necessarily mapenzi).
   
 6. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  kweli look is deceiving
   
 7. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Haya wanaume teremkeni na mistari tujifaidie kwa macho sie....
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  wasanii ni wengi humu, kila mtu ataka mpenda mungu....mbona walokole wengi tu singles!
   
 9. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mrefu,mwembamba kiasi,black in colour!hapo cna ujanja
   
 10. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  Hapa hujadadavua mrefu kwenda chini au kwenda juu??? wengi ni kwenda chini kazi unayo!!!Else hamia Rwanda
   
 11. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kila mwanaume akiamua kutaja anachovutiwa kwa mwanamke, hapa tutapata the endless list. By the way, what is the purpose of this thread? Does it make sense?
   
 12. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hata na ID yako inaonyesha umekaa ki-Rwanda Rwanda.
   
 13. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mrefu kwenda chini huyo wako,rwanda aendi mtu hata hapa bongo wamejaa
   
 14. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  inajibu thread ya Ladies.....What's hot..and what's not........mkuu huna kigezo nini???.............view pre-act.............manner makes man...........any way nadhani ni mtazamo wako tu!!!
   
 15. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Usafi, cute face, soft and full lips, killing eyes, broad shoulders, nice average tits, flat stomach but nice hips and average butts, nice straight and average filled legs,and when it comes to toes and fingers, they shud be clean, straight long and average filled.
  She has to be calm but live, the one when you are with her, time flies! Sense of humor is important. She has to be intelligent and understant real life. She has to be honest and god fearing.
   
 16. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  Mh, Mkuu huyu nadhani Bado hajazaliwa!!!
   
 17. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Navutiwa na mwanamke alie na macho madogo, umbo jembamba, rangi ya chungwa,sauti ya upole, ngozi nyororo maana wengine wana ngozi inang'ata! Zaidi ya yote anaetizama kwa mahaba, hii ndo basic kwangu maana kama mwanamke hanitazami kwa mahaba basi kuziamsha hisia zangu lazima aite marafiki zake wamasaidie!!!
   
 18. j

  jitegemee Member

  #18
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi napenda kamtungi(kasichana kafupi), ni tutamu balaa! warefu ni good looking ila hutamu hakuna kitu. mwanadamu anakua kila kiungo cha mwili kwa usawa, mrefu tegemea m-bwawa hasa! hujui uko nani au nje! Tufupi ndo mpango mzima! warefu tupa kule!
   
 19. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hapo mkuu sijui umetumia sayansi au historia, sio kweli kabisa na unachokisema sema tu ni mapenzi yako na mazoea pia!
   
 20. j

  jitegemee Member

  #20
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nina experience nao hawa watu, nilianza na warefu ila siku moja jamaa akaniambia nijaribu mfupi, weh! ndo nikaona utamu sijawahi ona, hadi leo mimi na wafupi tu.

  We umewahi kuona mtu mrefu ana mikono mifupi au vidole vifupi au mguu mfupi? mwili unakua kwa proportional ndugu yake, so hata ile kitu inakuwa si mchezo!
   
Loading...