Enyi Vibaraka na Virusi wa CCM ondokeni wote Mapema Tuijenge Chadema Yetu upya

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,551
Reaction score
20,346
GT
Mara zote kwenye uongo ukweli hujitenga pia mafuta na maji havichangamani.

Nachoshukuru hawa virusi na vibaraka wa CCM wataondoka mmoja baada ya mwingine hadi tuwajue wote

Chini ya mwenuekiti wetu mpya Mheshimiwa Tundu Lissu Chadema inaenda kujengwa upya juu ya msingi imara.

Tanzania hatuna shida na nguvu kazi nategemea Chadema itapata vijana wapya wenye ari na nguvu ya kulipigania Taifa.

Uzuri ni kwamba Chadema inauzoefu mkubwa sana wa kupoteza Viongozi wake wa ngazi ya juu na kujipanga upya kwa hiyo hakuna wasi wasi wowote.

Wale waliolambishwa Asali waende tu. Chadema itazidi kuwepo milele na milele haifi ila hao vibaraka ndo watakufa na kuiacha.

Mods "uzi wangu usiunganishwe"

IMG_7967.jpeg
 
View attachment 3327436
Hahaha I am so happy ! Now we are going to have the real opposition party! You rats you didn’t need press , you are already known as rats and you have no impact no matter what!
 
Back
Top Bottom