Hii ni hoja mfu! So outdated!!! Unapotezea watu muda tu na kujaza server. Wanawake wengine bwana, unakuwa kama hujaolewa.
Wewe ndio una shida kama walivyo ukawa, au umerogwa na wewe?, toa hoja yako na wewe, acha vijembe
Hii ni hoja mfu! So outdated!!! Unapotezea watu muda tu na kujaza server. Wanawake wengine bwana, unakuwa kama hujaolewa.
Kwa namna nisiyoitarajia leo nmekumbuka ule mstari wa biblia unaosema Enyi Wagalatia ni nani aliyewaroga???? Nikawafananisha Wagalatia na UKAWA kwa kweli. Maana Wagalatia walihasi imani yao kwa kutenda na kuyageukia yale ambayo walikuwa wanayakemea mwanzoni na kuyafanya kuwa ndio mtindo wa maisha yao. Hii haina tofauti sana na kilichotokea UKAWA kwani walilaani sana kuhusu ufisadi na walikuwa wanasubiria kwa hamu kuwa CCM wamteue Edward Lowassa{ mtu ambaye viongozi wote wa UKAWA walimshutumu na kumtangaza kuwa ni fisadi} kama mgombea wao wa nafasi ya uraisi. Lakini leo hii bila aibu wanamnadii tena hadharani na kumtetea haswaaaa kwa kila kitu anachokifanya. Mmmhhh kweli UKAWA mmehasi imani yenu ya kuwachukia mafisadi na hakika nashindwa kuelewa ni nani aliyewaroga kiasi hicho. Inakuwaje uchafu wa mtu ukasafishika kirahisi hvyo; au ule ubaya wake mliokuwa mnausema ukageuka kuwa wema ghafla??? Nadhani Tanzania inahitaji viongozi wenye msimamo pia kuongozwa na vyama vyenye misimamo. Zaidi ya yote inahitaji viongozi na chama ambacho kitaweza kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya wananchi. Wengi walidhani kuwa Mh.Kikwete atamteue EL kwa sababu ya urafiki wao; lakini nampongeza Mh.Kikwete kwa kutambua kuwa maslahi ya nchi ni ya muhimu zaidi kuliko mahusiano ya kirafiki. Eti leo kwenye mitandao ya kijamii bila hata haya mnapost picha yenye maneno eti shujaa amezaliwa leo leo mnamuita shujaa wakati siku za nyuma mlimtangaza kama fisadi aliyekubuhu. Hakika mnahitaji kujichunguza ni wapi mlipokosea ili mpate kuirudia imani yenu.
Leo hii nimethibitisha kuwa baadhi ya wanasiasa ni waongo, wanadiriki kutumia pesa kiasi chochote hata kwa kufanaya FUND RAISING au uongo wa aina yoyote ili wapate madaraka, si uongo kwamba viongozi wa vyama vya UKAWA wanatumia mgongo wa EL ili na wao waingie kwenye madaraka, kama si kweli viongozi wa vyama vinavyoundwa UKAWA wasingekubali kushiriki dhambi ya unafiki na uongo
pesa kweli mwanaharamu,hata yuda alimsaliti yesu mara tatu kabla jogoo kuwika,bila shaka kilichowaroga ni tamaa ya fedha na hakuna kitu kingine.Kwa namna nisiyoitarajia leo nmekumbuka ule mstari wa biblia unaosema Enyi Wagalatia ni nani aliyewaroga???? Nikawafananisha Wagalatia na UKAWA kwa kweli. Maana Wagalatia walihasi imani yao kwa kutenda na kuyageukia yale ambayo walikuwa wanayakemea mwanzoni na kuyafanya kuwa ndio mtindo wa maisha yao. Hii haina tofauti sana na kilichotokea UKAWA kwani walilaani sana kuhusu ufisadi na walikuwa wanasubiria kwa hamu kuwa CCM wamteue Edward Lowassa{ mtu ambaye viongozi wote wa UKAWA walimshutumu na kumtangaza kuwa ni fisadi} kama mgombea wao wa nafasi ya uraisi. Lakini leo hii bila aibu wanamnadii tena hadharani na kumtetea haswaaaa kwa kila kitu anachokifanya. Mmmhhh kweli UKAWA mmehasi imani yenu ya kuwachukia mafisadi na hakika nashindwa kuelewa ni nani aliyewaroga kiasi hicho. Inakuwaje uchafu wa mtu ukasafishika kirahisi hvyo; au ule ubaya wake mliokuwa mnausema ukageuka kuwa wema ghafla??? Nadhani Tanzania inahitaji viongozi wenye msimamo pia kuongozwa na vyama vyenye misimamo. Zaidi ya yote inahitaji viongozi na chama ambacho kitaweza kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya wananchi. Wengi walidhani kuwa Mh.Kikwete atamteue EL kwa sababu ya urafiki wao; lakini nampongeza Mh.Kikwete kwa kutambua kuwa maslahi ya nchi ni ya muhimu zaidi kuliko mahusiano ya kirafiki. Eti leo kwenye mitandao ya kijamii bila hata haya mnapost picha yenye maneno eti shujaa amezaliwa leo leo mnamuita shujaa wakati siku za nyuma mlimtangaza kama fisadi aliyekubuhu. Hakika mnahitaji kujichunguza ni wapi mlipokosea ili mpate kuirudia imani yenu.
kuna baadhi ya mambo unaweza kupata tabu sana kuweza kupata ufafanuzi wake, pengine inaweza kuwa kutokana na udogo wa elimu ambayo unayo au ukosefu mkubwa wa taarifa, lakini kwa jambo hili jibu lipo wazi kabisa. Pesa ni sabuni ya roho, fedha ndio kitu ambacho kimewaroga hakuna jambo jengine. Human nature ya viongozi wa UPAWA ni selfishness {Thomas Hobbes}, wanaangalia matumbo yao binafsi pasi na kuwa na uchungu wamaendeleo ya jamii nzima. Wakaamua kumpokea fisadi papa ili wanufaike wao binafsi na kuwadanganya Watanzania na neno "tunapambana na mfumo na si mtu binafsi" pasi na kutufahamisha content za mfumo ambao wao wanauzungumzia. Ni mtego uliotumika kuwapumbaza Watanzania ambao ni washabiki walio na uwezo mdogo wa maarifa {limited knowledge} au "wapumbavu" . Zinduka mtanzania mshabiki, na wewe unaweza kunipa jibu UMEROGWA NA NINI? AU NA NANI? kwa sababu viongozi wako wamerogwa na hela.Kwa namna nisiyoitarajia leo nmekumbuka ule mstari wa biblia unaosema Enyi Wagalatia ni nani aliyewaroga???? Nikawafananisha Wagalatia na UKAWA kwa kweli. Maana Wagalatia walihasi imani yao kwa kutenda na kuyageukia yale ambayo walikuwa wanayakemea mwanzoni na kuyafanya kuwa ndio mtindo wa maisha yao. Hii haina tofauti sana na kilichotokea UKAWA kwani walilaani sana kuhusu ufisadi na walikuwa wanasubiria kwa hamu kuwa CCM wamteue Edward Lowassa{ mtu ambaye viongozi wote wa UKAWA walimshutumu na kumtangaza kuwa ni fisadi} kama mgombea wao wa nafasi ya uraisi. Lakini leo hii bila aibu wanamnadii tena hadharani na kumtetea haswaaaa kwa kila kitu anachokifanya. Mmmhhh kweli UKAWA mmehasi imani yenu ya kuwachukia mafisadi na hakika nashindwa kuelewa ni nani aliyewaroga kiasi hicho. Inakuwaje uchafu wa mtu ukasafishika kirahisi hvyo; au ule ubaya wake mliokuwa mnausema ukageuka kuwa wema ghafla??? Nadhani Tanzania inahitaji viongozi wenye msimamo pia kuongozwa na vyama vyenye misimamo. Zaidi ya yote inahitaji viongozi na chama ambacho kitaweza kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya wananchi. Wengi walidhani kuwa Mh.Kikwete atamteue EL kwa sababu ya urafiki wao; lakini nampongeza Mh.Kikwete kwa kutambua kuwa maslahi ya nchi ni ya muhimu zaidi kuliko mahusiano ya kirafiki. Eti leo kwenye mitandao ya kijamii bila hata haya mnapost picha yenye maneno eti shujaa amezaliwa leo leo mnamuita shujaa wakati siku za nyuma mlimtangaza kama fisadi aliyekubuhu. Hakika mnahitaji kujichunguza ni wapi mlipokosea ili mpate kuirudia imani yenu.
pesa kweli mwanaharamu,hata yuda alimsaliti yesu mara tatu kabla jogoo kuwika,bila shaka kilichowaroga ni tamaa ya fedha na hakuna kitu kingine.
Nimeamini kweli pesa haitoshi, Viongozi wa UKAWA wamerogwa na pesa ya Lowaaaa, napata wakati mgumu kutambua ni kitu gani hasa leo hii muhubiriwa mkubwa wa ufisadi ndani ya UKAWA anakua rafiki na kumpa nafasi ya juu ya kugombea uraisi, nakumbuka tweet moja ya halima mdee, anasema "tukisimamisha fisadi msituchague" halafu nakuja kumuona ameshika bango la lowaaa akimpigia debe kuwa ndie raisi anaefaa Tanzania, ni mchezo gani hawa viongozi wanatuletea Watanzania, wanatufanya wapumbavu kiasi hiki, kuanzia leo nakubali maneno ya benjamin kweli mm ni mpumbavu kwasababu sanaa inayoendelea naitazama lakini bado nakubaliana nayo. mm sirogeki haoooooooooooooKwa namna nisiyoitarajia leo nmekumbuka ule mstari wa biblia unaosema Enyi Wagalatia ni nani aliyewaroga???? Nikawafananisha Wagalatia na UKAWA kwa kweli. Maana Wagalatia walihasi imani yao kwa kutenda na kuyageukia yale ambayo walikuwa wanayakemea mwanzoni na kuyafanya kuwa ndio mtindo wa maisha yao. Hii haina tofauti sana na kilichotokea UKAWA kwani walilaani sana kuhusu ufisadi na walikuwa wanasubiria kwa hamu kuwa CCM wamteue Edward Lowassa{ mtu ambaye viongozi wote wa UKAWA walimshutumu na kumtangaza kuwa ni fisadi} kama mgombea wao wa nafasi ya uraisi. Lakini leo hii bila aibu wanamnadii tena hadharani na kumtetea haswaaaa kwa kila kitu anachokifanya. Mmmhhh kweli UKAWA mmehasi imani yenu ya kuwachukia mafisadi na hakika nashindwa kuelewa ni nani aliyewaroga kiasi hicho. Inakuwaje uchafu wa mtu ukasafishika kirahisi hvyo; au ule ubaya wake mliokuwa mnausema ukageuka kuwa wema ghafla??? Nadhani Tanzania inahitaji viongozi wenye msimamo pia kuongozwa na vyama vyenye misimamo. Zaidi ya yote inahitaji viongozi na chama ambacho kitaweza kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya wananchi. Wengi walidhani kuwa Mh.Kikwete atamteue EL kwa sababu ya urafiki wao; lakini nampongeza Mh.Kikwete kwa kutambua kuwa maslahi ya nchi ni ya muhimu zaidi kuliko mahusiano ya kirafiki. Eti leo kwenye mitandao ya kijamii bila hata haya mnapost picha yenye maneno eti shujaa amezaliwa leo leo mnamuita shujaa wakati siku za nyuma mlimtangaza kama fisadi aliyekubuhu. Hakika mnahitaji kujichunguza ni wapi mlipokosea ili mpate kuirudia imani yenu.
Mimi nahisi ni laana walizopewa na, Prof na Ndugu Slaa baada ya kumpokea EL.
pesa kweli mwanaharamu,hata yuda alimsaliti yesu mara tatu kabla jogoo kuwika,bila shaka kilichowaroga ni tamaa ya fedha na hakuna kitu kingine.