DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
Dah kwakweli wewe mjamaa umenichekesha sana kwa kweli.Habari wakuu.
Poleni sana kwa majukumu, Hoja yangu ni kwamba imefika wakati nataka kuoa sasa, ila sasa imebidi niulize kwa mliooa. Mmepataje wake wakuoa? Maana toka nipate wazo la kuoa nimekua nazurula sana maeneo mbalimbali nikiamini nitakutana na anayenifaa, hii hali imenifanya hata nikiwa nyumba ya ibada nisiwe makini na ibada bali nakagua mke, hata nikiwa kwenye daladala yaani akipanda Dada nakuwa makini sana nikiamini labda ndo huyu..!
MSAADA WENU TAFADHARI...
Asante sana mkuu kwa ushauriDah!tuliza akili tu
Tafuta taratibu ukimshirikisha Mungu ukikurupuka sabbu uharaka ya kuoa umri umeenda utaangukia pabaya...walioko ndan yenyew wanataka kutoka
Mshirikisho mungu.Habari wakuu.