khanjuboe BESM
Member
- Oct 25, 2022
- 20
- 8
Msaada kwa mwenye connection ya masomo au kazi nimemaliziaa sua na overall GPA ni 4.3 naweza kufanya nn jaman
Msaada kwa mwenye connection ya masomo au kazi nimemaliziaa sua na overall GPA ni 4.3
Ndio TMA darFanya masters atleast
Vipi ushawai kujitolea sehem labda
SantehTafuta shule ya awali a.k.a vidudu ufundishe
ShukranNgoja waje wajuzi..
Hii inchi ngumu sana.
Usije kushauri apige nyetoh ,kama huna ushauri pita kimya..aisee
hujui cha kufanya?!? anyway JITAFUTE.Msaada kwa mwenye connection ya masomo au kazi nimemaliziaa sua na overall GPA ni 4.3 naweza kufanya nn jaman
Hongera sanaa mkuu! Ulipambana si mchezo.Msaada kwa mwenye connection ya masomo au kazi nimemaliziaa sua na overall GPA ni 4.3 naweza kufanya nn jaman
Tena sana sio mchezo..
Sina ufadhil ndo shida ndo maan nauliza nifanye nnhujui cha kufanya?!? anyway JITAFUTE.
Asante kaka
Ishu connection mzeeTena sana sio mchezo..
Jinsia yako? Mana natafuta mwenye hiyo lakin mwanamke ili nipate mitoto mijiniazi huko shuleniMsaada kwa mwenye connection ya masomo au kazi nimemaliziaa sua na overall GPA ni 4.3 naweza kufanya nn jaman
BoyJinsia yako? Mana natafuta mwenye hiyo lakin mwanamke ili nipate mitoto mijiniazi huko shuleni
Huo ndio ugonjwa mkubwa wa SUA.Msaada kwa mwenye connection ya masomo au kazi nimemaliziaa sua na overall GPA ni 4.3 naweza kufanya nn jaman