Environmental Sciences Management GPA 4.3 SUA

Environmental Sciences Management GPA 4.3 SUA

Msaada kwa mwenye connection ya masomo au kazi nimemaliziaa sua na overall GPA ni 4.3 naweza kufanya nn jaman
Jinsia yako? Mana natafuta mwenye hiyo lakin mwanamke ili nipate mitoto mijiniazi huko shuleni
 
Msaada kwa mwenye connection ya masomo au kazi nimemaliziaa sua na overall GPA ni 4.3 naweza kufanya nn jaman
Huo ndio ugonjwa mkubwa wa SUA.

Course za SUA nyingi ni za kufutwa, zinawapotezea vijsna muda na hakuna pa kufanyia kazi ukimaliza.
 
Back
Top Bottom