Enumerators wanahitajika aga khan mwanza

Enumerators wanahitajika aga khan mwanza

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,052
Reaction score
1,526
Wadau wa mwanza hospitali ya aga khan wanahitaji enumerators kwa research yao. see attached file
 

Attachments

  • 002-copy-7.jpg
    002-copy-7.jpg
    259.5 KB · Views: 115
Sawa,asante mkuu

Sent from my X-TIGI_A10 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: ita
[QUOTEdome, post: 22277163, member: 195355"]kwahiyo nimwanza tu ??

Post sent using JamiiForums mobile app[/QUOTE]
Ndiyo tena wamespecify kabisa lazima uwe mkazi wa mwanza
 
Habari wakuu,vipi mwenye taarifa zozote kuhusu mchakato mzima wa hii position.Je wameishaita watu kwenye usaili hama bado maana kwangu mimi bado naona kimya.Tafadhali mwenye taarifa zoote naomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nikajua wakuu mmeshaitwa kumbe bado...tusubir labda wanachambua. kwenye tangazo kwa chini kuna namba za simu
 
Kweli kabisa, maana hata Mimi niliona kimya nikajua wameshaita. But wangesema all successfully candidate will be contacted in which date ingekua poa zaidi ili tarehe ikipita mtu usipate tabu ya kupay attention.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hauko mwanza ukawachek labda wana updates yoyote
 
Tulien wadau,tangazo linadai kazi itaanza July hivo tuwape hii wiki....wanaweza kutuita
 
Wakuu kuna aliyebahatika kuitwa?? au ndo tuandike maumivu....
 
Back
Top Bottom