Mwanangu hingera sana, kikubwa hapo ni hiyo ajira mpya inayoeleweka mshahara tosheka nao tu maana huku mtaani noma.
Subsistance allowance for 7days 65,000x7=
Transport No.of Km from Place of domicile/recruitment x 1000 x 3tone=
(please see standing order 2009 third edition) It was previously 14days subsistance allowance but it has been amended as above.
Sio kweli kama ni graduate anaanza na basic ya 511,000 katika TGS D. Back to the topic ni kwamba unastahili kulipwa nauli ya Dar hadi Rungwe (kwa rates za Sumatra na sio za mabasi), Unapewa subsistence allowance ya 35000/= kwa siku 7. Utapewa pia hela kwa ajili ya kusafirisha mizigo na familia (kama utafhibitisha kuwa una Mke/Mume na watoto/wategemezi. Kuhusu mizigo rates zake kwa graduates ni tani 3 mara idadi ya kilometa mara shilingi 1000/=. Utapata hela nyingi hasa ukizingatia Dar- Mbeya ni kilometa zaidi ya 800 na Tukuyu toka Mbeya ni kama kilometa 60 hivi.Basic salar 450,000/=
Kilo 5000 si ndio tani 5? Ilishafutwa hiyo sasa hivi ni tani 3 tu. Ila hoja ya 65,000 ni uzushi ilitenguliwa kwa tangazo la serikali namba 18 la Machi 2011Thanks ndugu; hiyo standing order ninayo ofisini ila sijaona hiyo sehemu ya kilomitres na hiyo amount ie 1000 na hiyo 3 tonnes naona huku ni 5000 kilograms sasa nashindwa kuelewa exactly whats are the entitlements...
Kilo 5000 si ndio tani 5? Ilishafutwa hiyo sasa hivi ni tani 3 tu. Ila hoja ya 65,000 ni uzushi ilitenguliwa kwa tangazo la serikali namba 18 la Machi 2011
Sio kweli kama ni graduate anaanza na basic ya 511,000 katika TGS D. Back to the topic ni kwamba unastahili kulipwa nauli ya Dar hadi Rungwe (kwa rates za Sumatra na sio za mabasi), Unapewa subsistence allowance ya 35000/= kwa siku 7. Utapewa pia hela kwa ajili ya kusafirisha mizigo na familia (kama utafhibitisha kuwa una Mke/Mume na watoto/wategemezi. Kuhusu mizigo rates zake kwa graduates ni tani 3 mara idadi ya kilometa mara shilingi 1000/=. Utapata hela nyingi hasa ukizingatia Dar- Mbeya ni kilometa zaidi ya 800 na Tukuyu toka Mbeya ni kama kilometa 60 hivi.
Benefits zingine ni circumstantial, inategemeana na mahali ulipo, wewe kama Katibu wa Baraza la maendeleo ya Kata utakuwa ni viposho bila shaka. Ukiweza kukalia kiti sawasawa wale watendaji wengine kama Maendeleo ya jamii, Kilimo,Afya n.k utasahau kama wewe ni WEO. Aidha kuna posho ya extra duties au overtime, kuna vikao mbalimbali n.k
Hongera sana ila kama kazi hiyo ulipatia kupitia JF sio vibaya ukikumbuka kuchangia kidogo, onana na Invisible akupe utaratibu....
mshahara ni 511400 i am one of the selected weo ii. Nimeshajaza fomu za ajira nasubilia kupewa check no. Karibuni masasi wapendwa[/QUOTE
vipi ushaanza kazi huko Masasi ndugu?!
naanza tarh 27 dec 2012 nilipo ripoti nikashauriwa na afisa utumishi nijaze fom ya likizo ya wk 2 wakat nasubilia pesa yangu ya kujikim na chek no.
Usijali Mkuu. Usisahau kuwasiliana na hawa Invisible (sharing is caring),na Maxence Melo ili uichangie hii forum iendelee kudumu na kudumu. Otherwise hongera sanaSorry mkuu nimekuuliza swala kabla sijasoma hii three... Thanks kwa update hii nzuri na makini...
Thanks.