Enough is enough

Jul 1, 2010
32
2
Je wajua kwa serikari ya Kikwete milioni mia saba(700 million) zimetumika kutengenezea matundu 8 ya choo cha shule ya msingi? Na ni jumla ya shilingi Bilion 3.2 zimetumika kwa mradi huo kwa manispaa ya Bagamoyo? Ni jimbo la Bgamoyo atokapo kikwete, Alafu wanasimama vifua mbele wakisema elimu bure Tanzania haiwekani, ENOUGH IS ENOUGH

Hebu watanzania wenzangu tuamke na tupende maendeleo ya kweli, lets try Slaa, i trust this man, He can make the true and positive changes, achaneni na hizi ahadi zisizotimilikika na mikataba inayofanikisha watu wachache wliojaa umimi na kutaka kuwakandamiza watanzaia ili wasiamke kwa kuelimika.ENOUGH IS ENOUGH

Ikiwa enzi za mwalimu elimu bure iliwezekana nao wakasoma bure ila sasa wapo kwenye system hawataki wengine wajikomboe kwani watajua ukweli wa mambo..ENOUGH IS ENOUGH

Jana eti alikuwa mbaya kwa kutumia madaraka vibaya tukamfukuza uongozi, leo eti ni yeye anfaa, nanukuu: yaliopita si ndwele tugange ya mbele....ENOUGH IS ENOUGH

Hivi ni kweri hakuna watu wengine walioelimika na uwezo wa kufanya kazi aliokuwa anaifanya yeye?? au kama si kutumia zile fedha alizoiba ili kumfanya arudi tena madarakani aendelee kuiba ili arudishe na hizi anazo tumia leo.ENOUGH IS ENOUGH

Hamka mtanzania mwenzangu, itumie vizuri kura yako, Ni mmoja aliotoa mstakabali na hatiba ya hawa mafidadi kwa kuwafirisi na kuwatoa madarakani kwa nini tusimjaribu yeye??ENOUGH IS ENOUGH

Waliomba mara ya kwanza wakashindwa, eti walikuwa wanajifunza kazi, miaka mitano, tena anakuja kifua mbele nipeni kura zenu ili sasa nitumike ya kweli haya?????
Ile ya mwanzo ambayo unatakiwa utumike vizuri ili wakurudishe kwenye awamu nyingine ameharibu, iweje hii ngwe ya lala salama ambayo hata ukitenda nini lazima uondoke hatafanya nini?ENOUGH IS ENOUGH

Zinduka mtanzania,ENOUGH IS ENOUGH AND I REPEAT ENOUGH IS ENOUGH
 
Hao jamaa ni mahututi wa fikra na hawataki hata kujua ni kwanini wamefikisha taifa katika hali hii mbaya. Kama Jimbo lenyewe na 'rais' wa nchi ameshindwa kuutambua ufisadi mkubwa kiasi hicho katika jimbo lake mwenyewe, atawezaje kujua kinachoendelea katika level ya nchi (ambayo ni zaidi ya mara 20 ya eneo la jimbo lake??)

Yeye aondoke tuu haraka awaachie watu wenye uwezo wa kuchambua na fikra sahihi za kimaendeleo kuanzia ngazi za chini vijijini, Majimbo, kitaifa na kimataifa.
Dr Slaa hana wa kumlinganisha naye huko CCM. Slaa ndiye Rais wetu Mpya 2010 - 2015.
 
Kazi tunayo no wonder wanataka wakae madarakanimilele ili mazambi yao yasiwe uncovered
 
this is not breaking news
I agree, but ......it being not breaking news............ARE WE TO LEAVE ASIDE THE CONTENT........?? Tatizo lenu mnatetea hata visivyo na maana simply because NI VYA KWENU
 
Back
Top Bottom