Enough is enough maskini moyo wangu

Ukinisumbua sana kukupata,tegemea hayo matokeo.
Unasumbua miaka 2 na zaidi,natumia gharama nyingi kukupata,siku ya kukukwangua nagundua kumbe huna jipya, nasepaaa fasta, huna thamani ya kugomea papuch muda mrefu hivyo
 
Umerudi tena na vistory vyako!
 
Huu ni ukweli mchungu..
Sio kweli. Usipokua mwaminifu kwa mwenzio, ukawa na mapenzi ya uongo ya kinafiki, usipokua na mapenz ya dhati , usipokua na hofu ya Mungu ndani yako, na mara kwa mara kutafuta kila sababu muachane, basi hio statement ndo itakua kweli.
 
Asante kwa ushauri
 
Daaah! Mungu akubariki sana umenifanya nipate nguvu ghafla yani u made my day.Asante
 
Asante sana.
Mungu ananisaidia sijapauka, sijalia nipo imala sana.whot matter is time tu.
naamini every lovly thing has an end.
 
Pole sana, usi mbloku na wewe. Ile kumuona ona ona itakufanya umuone wa kawaida pia utazowea haraka.

Naungana nawe mkuu...
Ukigombana na mwenza wako Usikimbilie kumblock...hasa akina dadaa..
Wanaume sikuzote wanajirudi..hivyo utapaswa kumsikiliza hoja zakwanin alikimbia
 
Pole sana, jipe moyo ipo siku maumivu yote yataisha na utampata atakaekufanya ujione malkia. There is nothing that time can't heal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…