Enough is enough maskini moyo wangu

Kuna tofaut kati ya "need" na "want" wazo zuri
 
Umewasaka kooote huko umechemka umeamua kuja na huku kujitangaza???
 
Mi nakushauri kitu kimoja, nisikilize kwa makini kabisa, " KWAKUWA UMEZINGULIA NA BWANAKO MMOJA USITUCHIKIE WANAUME WOTE, LABDA HAIKUPANGWA IWE HIVO LABDA ILIKUPASA TU UPITIE HILO ILI LIWE FUNZO KWAKO, CHONDECHONDE WANAUME WOTE HATUKO HIVO" ni pm, am a shoulder to cry on!!
 
Faraja ya kwel ni ile inayotoka kihisia....

Hakuna faraja pasipokuwepo na tatizo....
Na hakuna tatizo pasipokuwepo na matendo .....

Ni wale tu amabao hawafany kitu chochote katika hii dunia ndio hawapatw na matatizo...

Relax... it always happen...
Mistake yako ni kuvuta kamba iliyolegea pasi unajua kuwa una harala ya kufika....

Usikimbilie mmbali utachoshwa ukifikiria kurud.... njoo inbox hapa upate liwazo la roho... faraja ya nafsi na furaha ya moyo....
 

MKUU,

WEKA PICHA KWANZA TAFADHALI.
 
hapana nashukuru sijawahi kuumizwa am happy with him ila tuuu "long distance relationship is killing me"
hii kitu inasumbua sana inahitaji moyo nakupunguza wivu pia ukiwa na wivu ulopitiliza wafwa ,Mm mwenyewe ni muhanga wa hii ishu but naomba sana mungu anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…