Enough is enough maskini moyo wangu

Ooooh poleee sana kaza moyo hata mm mpenzi wangu alinitesa sana but after give up niko poa nawewe kama vp mpotezee tu japo ni vigumu...,
 
Maumivu unayoyasikia kwa kiwango kikubwa ndio nguvu inayotumika kumsukuma mbali mwenza huyo! Ukipita hatua hii hakika utajiuliza hv ndio huyu niliyekuwa nam- mind, na kidha kucheka kwa dharau. Kwani atakuwa ameshadeletiwa na moyo wakoo!!
 
Pole shost...

Ili upate recover ya fasta, usipende kukaa peke yako, futa na block kila kitu chake,

Kumbuka mabaya yakee tuu!...utapona haraka tuu
 
Hakuna kitu kinauma kama kumpa mtu moyo wako alaf anakuchukulia powa... aisee huwa inauma.. ila haina jinsi. Muache aende
 
maumivu ya mapenz ukiyaendesha hata kiuchumi husongi kamwe.
 
Aaaah utakua sawa tu just after two months max mm nilitendwa na girl nimpendae balaa niliumia sn ila sasa nikimuona nahis km nimeona dada yngu sina hisia nae kbisa waka hanishtui roho
 
Hata mie ningekuacha kwanini unisumbue makusudi?, alafu mwishoni mwa siku mnalegeza masharti, nikipata ile kitu sahau, lazima upigwe chini tu..
 
wewe upo nje alafu yeye yupo Tanzania? Si ndio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…