Ndio nani?
Apparently ndio waliovuta hela za IPTL na netgroup. Mwwnye data zaidihuyu jamaa alikuwa mfanyakazi wa BOT na mfanyabiashara ndio alikuwa amewekeza lile jengo kwenye stendi ya makumbusho ndio walikuwa wanamalizia ujenzi. RIP Mr. Maganga
huyu jamaa alikuwa mfanyakazi wa BOT na mfanyabiashara ndio alikuwa amewekeza lile jengo kwenye stendi ya makumbusho ndio walikuwa wanamalizia ujenzi. RIP Mr. Maganga
Apparently ndio waliovuta hela za IPTL na netgroup. Mwwnye data zaidi
Mfanyakazi BOT? kawekeza lile jengo!!!!! Sio mchezo. Anyway r.I.p to him.
Mfanyakazi BOT? kawekeza lile jengo!!!!! Sio mchezo. Anyway r.I.p to him.
Kwani huwezi kuwa mfanyakazi halafu ukawekeza jengo?
Chuki za kimasikini hizo
Alikuwa bwanaako nini mbona umetoka omo fasta hivyo we kibabu? Usidhani sababu upo nyuma ya kioo ndiyo waweza kuandika lugha unayojisikia mazee
Kwani kuhoji kuna ubaya gani? Nadhani wewe ndiye mwenye fikra za kifukara.
Happy new year!
umequote vibaya kakwambia alikuwa bwana wako nini??? sio baba
Nimesharekebisha mkuu ..
Nimesharekebisha...
Yale yale....
Uwezo wako wa kufikiri ndio umefikia hapo?
Na hivyo ndivyo unavyojenga hoja katika majukwaa kama haya?
Naamini mzee wangu alikuwa ana akili kuliko mzee wako ndio maana alinipeleka darasani na kuweza kuongeza something upstairs na hii inadhihirisha kwa kuchukua na kuangalia comments zangu na zako hapo... kwamba am too way far upstairs than you sikulaumu maybe ni zile shule zenunza vidumu na ufagio mkubwa wa chelewa kama mnaenda kuua nyoka huku shingoni mna cheni kubwa kama wavaazo vijana wa kileo wa muziki wa magharibi ila nyie tofauti yenu na wao wao aanavaa cheni ila nyie zinakuwa soo cheni bali ni visodaKuwa nyuma ya kioo kinanifanya niongee kwa kukemea yale yote nayoyaita mawazo finyu na mawazo hasi ya watu kama nyie kwani kwa kuhoji mambo ambayo hayana tija na msingi kwa mada husikaUulize as who are you mpaka uulize mkuu?Uko kwa auditing firm or something?-If not nipe sababu ya kuuliza tena kwa mashaka?Utanijibu eti anakula kodi yako maana ndio maiibu yenu nyinyi wasomi wa kileo...Anyway marry xmass mkuuuAsalam aleykum bondpost
Take a little look ya your life., na kama kuna difriculties zozote unazokumbana nazo nadhan umeshajua tatizo lako linalokufanya usifanikiwe
Attitude bwana mdogo
Attitude
Right on cueMnisamehe kwa vicheko, ila pole yangu ya dhati kwa wadau wote. Wenye dealz nae za mahela, mabar maid waliokuwa wanapata tips, wadada wahongwaji, wapambe wanao mkuwadia to mention a few.
talking of attitude, hahaha! What do we call yours? Unahisi tuliovaa cheni za vijiti na visoda hatukupata elimu? Hahahaha, attitude yako inanichekesha. Una akili za ingilishi midiamu ila unahisi ni za international school.
Shostito hivi hii utaiita attitude? Hii iliyojaa kila chembe ya masihara na kejeli ? Ningekuwa na attitude jibu ambalo ningelitoa ningekuwa nimemfuata faiza fox kwa kunigwa life ban
Huyo mtu nimemfanyia mindfuc**** tu na kwa jinsi alivyo still hajaelewa
Mkuu kumbe na wewe ulipita shule hizo wooops my bad..
I hope umeichikulia easy...
Anyway happy new year king'asti na wale wote kama wewe waliokuwa wanaenda shule na sket zao za blue au za kijani huku wakiwa wamesuka twende kilioni mistari 5
Mguuni wamevaa soksi yenye matundu tundu kama chandarua kilichogaiwa bure na rais bush ambayo sa
a nne hiyo soksi unaifanyia mpira wa rede
Right on cue