Enjoy Big Brother Africa LIVE!!! through my channel online


e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
975
Likes
50
Points
45
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
975 50 45
OK bado niko katika marekebisho ya hapa na pale so narusha now mpaka saa kumi kama testing then ikiwa bomba kabisa muda huo wote, nitatoa schedule masaa yapi na yapi nitakuwa narusha LIVE!! bitrate sio kubwa so mnaweza angalia bila kuganda ganda open kupitia hapa:

http://veetle.com/index.php/channel/view#4fa901d215ac4

Nakaribisha maoni na mawazo yenu!
 
TWIZAMALLYA

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Messages
398
Likes
0
Points
33
TWIZAMALLYA

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2011
398 0 33
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Messages
4,987
Likes
200
Points
160
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2011
4,987 200 160
wale wa proxy wanaweza kuwatch?
 
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
5,039
Likes
5,848
Points
280
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
5,039 5,848 280
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
975
Likes
50
Points
45
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
975 50 45
Guys nimezima now nitarusha kesho mornin mida kwanzia saa nne hivi mpaka jioni kama umeme utakuepo
 
Ishina

Ishina

Senior Member
Joined
Dec 27, 2011
Messages
170
Likes
0
Points
33
Ishina

Ishina

Senior Member
Joined Dec 27, 2011
170 0 33
Guys nimezima now nitarusha kesho mornin mida kwanzia saa nne hivi mpaka jioni kama umeme utakuepo
Hii kitu bado ipo kwenye majaribio?!
Ikiwa sawa, fanya mpango Mkuu iwe 24/7, au kwa muda wote ambao umeme utakuwa unapatikana.
 
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
975
Likes
50
Points
45
e2themiza

e2themiza

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
975 50 45
Hii kitu bado ipo kwenye majaribio?!
Ikiwa sawa, fanya mpango Mkuu iwe 24/7, au kwa muda wote ambao umeme utakuwa unapatikana.
Ntajitahidi mkuu. Leo cjafanikiwa coz baadhi za nyenzo znatumika kwgne. But nkiwa narusha nitaweka annoucment. Kwa 24/7 haitawezekana but baadhi ya mida na wakat intresting pia
 

Forum statistics

Threads 1,273,083
Members 490,268
Posts 30,470,607