Enjoy 3g internet kwenye eneo lenye 2g

jaribu kwenye setting za network chagua manuall then search network, ukiona kuna mtandao huuelewi uchague huo huo mara nyingi zinakuwa ni namba au tritel

Naam,na bundle yake unalipaje?
 
kaka huo mtandao upo nchi nzima na unaandika namba au tritel ndio jina lake na sasa unatumiwa na line za bol/smart wala msipate shida nunueni tu line za smart mtapata 3g hadi huko vijijini

Chief una maanisha hiyo smart nchi zima inatumia minara ya makampuni mengine au? Km ndio mbona mikoa km tanga hata tetesi ya uwepo wa smart hakuna na hizo line zao sijapata kuzisikia
 
Chief una maanisha hiyo smart nchi zima inatumia minara ya makampuni mengine au? Km ndio mbona mikoa km tanga hata tetesi ya uwepo wa smart hakuna na hizo line zao sijapata kuzisikia

tanga mimi natumia smart toka unaitwa bol upo japo speed yake ya kawaida kama 1mbps
 
wakuu sababu za smart kua nchi nzima ni teknologia wanayotmia....hawahitaji minara.wao wana satellite mobile communication.wanatumia satellite na few ground stations hvyo pia inakua rahis ku cover nchi.
 
technology ni yao au ni ya nchi wanakodisha? sababu nakumbuka kuna wakati waya za internet kuna meli ilizikata kukawa natatizo la net hapa bongo vodacom walikuwa wanapatikana kwa same network
 
Wakuu mm nina iphone 4s yani imekuwa ni shida sna ninapoenda maeneo ya mbali na mjini yan net inakuwa ni shida sana. Mwenye msaada jaman
 
Mie nimejaribu lakini imegoma labda ningetumia hio laini ya blue. Nimefka mpaka kwenye RH lakini ndo imegomea hpo
 
Speed haijaongezeka Mangi. Cheki kama inasalio la bando. Nachojua utapata speed mzur kama umepata RH. Komaaa it a search tu. Kiukwel me npo nje ya kasulu naenjoy mno kas ya net tofaut na mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…