English Speaker....11th man theory..ladies is this true

and there u ar! mambo ya missing u ndo unaambiwa dont sell! u shld just say 'ooh really! dd u watch the game yesteryear?', hapo ndo rose ata-bloom utashangaa!
<br />
<br />

Wewe nawe na hiyo binduki yako ya maji! Wapi nimesema nimemmisi bana? Now shoot me with your tonka toy if you can....
 
Dah! Hakuna mwanamke asiyependa kuwa treated vizuri, tatizo letu mioyo yetu ikishaangukia sehemu nyingine ndio huko huko, hata mwanaume mwingine afanye nini hatopendwa.
<br />
<br />
Sio hvyo dada asha! Wanawake huwa hawapend mWanaume anayetabirika, anayeonekana kumwangukia mwanamke! Angalia mara nying yule ambaye anaoyeoneklana hana tym na mwanamke ndiye huwa anagombaniwa! Kwa kifupi mwanamke anaamin mwanaume ni yule jasiri, anayejiamin na anayejikubali kwa jinsi alivyo!
 
Kila mwanaume (straight ) kuna mwanamke
Fulani anamgusia..

Usemi wako ni 100% TRUE kama we ni homosexual ..
Take care .
that is so defencive....mwanaume anaejiamini ashoboki....ladba ww ni under sixteen. mashoga wenyewe wanashoboka...ukimuona mwanaume anaeshoboka ujue huyo maneno mengi tu....get some move on.
 
kujifanya unamsifia sifia mwanamke na kumnyenyeke is the sign of failure,
if you love love with action not loving with proud giving your things to buy her, thats foolishness.


dah nataman nikubusus bure,,,,,penda kwa vtendo ....kujifanya unapenda kwa mapambio yahuu?
 
ukiona mwanamke anakataa hii...bado hajajua tofauti kati mwanaume na mvulana.
 
Back
Top Bottom