chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,118
- 22,506
Huwezi kujua lugha ya pili kama lugha ya kwanza yenyewe hauijui/ ni utata.
Mfano mTanzania ili ujifunze Kiingereza ni lazima kiswahili ukijue ama sivyo utakua unaunda sentensi za hovyo.
English please