English Course!

English Course!

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,010
Reaction score
60,480
TUNAWEZA learning centre tunatoa huduma ya kujifunza kiingereza (English course ) kwa watu wazima.

Tunapatikana Mbezi Africana na muda wa masomo ni jioni saa 11 mpaka saa 1, kuanzia jumatatu mpaka jumamosi. Njia zetu za ufundishaji ni nzuri na rahisi kwa wale wanaopenda kuongea kiingereza kwa ufasaha.


Form za kujinga na darasa letu zinapatikana Africana Pub, muda kuanzia saa 10 mpaka saa 12 jumatatu - jumapili. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0712275833

WAHI SASA.
 
kuna mteja wa kwanza ngoja nimuite pombe Magufuli
 
Last edited by a moderator:
Mtahalifu na maufungu mteja mzuri sana tena kwa kipindi hiki.


swissme
 
Malcolm05 bado rafiki, ndio wanaanza kwahiyo bado kufungua branch nyingine. Jaribu kuwasiliana nao moja kwa moja kujua zaidi,pengine mnaweza pata solution kwa pamoja. Maana na hizi smart phone mtu unaweza ukajifunza kitu sawa na mtu aliyepo darasani hata ukiwa mbali.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom