Engineer Soma hiyooooooooo!

Ha ha ha ha ha ha huku ni kubadilishana mawazo tu,hayo mengine ni private tu,ukiamua kula na kuondoka au kung'ang'ania moja kwa moja yote sawa.
 
Hahahaaa!! Mhenga kaoa mwanamke wa jf kisha akachupukiwa. Inauma sana aisee.

Hivi huo uzi wa mbinu za kuchepuka uko wapi?
Hahaha hahahaha
Pole ya muhenga... Inauma sana jamani, ila mhenga hakupaswa kutuchanganya woteee... Babu@Asprin anajua!

Auntie unataka kuchepuka na wewe?! Utamuumiza Mo11
 
we
wewe wa mkoa wewe....somaaaa
 
MO11 alishaniacha auntie, we nawe wapotea sana.
Hahaha hahahaha
Pole ya muhenga... Inauma sana jamani, ila mhenga hakupaswa kutuchanganya woteee... Babu@Asprin anajua!

Auntie unataka kuchepuka na wewe?! Utamuumiza Mo11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…