Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Tupeane mbinu
Naomba nikupigie mobitel..
Injinia tumia tape measureNipe kikokotoo nisome fasta....
😀😀😀😀😀😀ila weweeNadhani alishauza akamwagwaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huoni anatoa povu
Sent using Jamii Forums mobile app
Khantwe katika ubora wake.!!!Ulitumia condom? Jinga kabisa ukute hata sio mke wa mtu ulibeba likahaba tu
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahPole sana KakaKiiza
Mara nyingi ukiona thread za hivi huwa mtu keshalizwa! Vumilia kidogo mzee baba!
Heri ya mwaka mpya!
Vipi umeshapigwa tukio? Ni uzi gani unaelezea mbinu za kuchepuka naomba mnitag
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaah hebu fanya kama unajikuna.... sema kujikuna.Injinia tumia tape measure
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wanawake wa JF ndio hao hao wa kitaa. Sasa sijui mkija huku mnakauwa malaika[emoji28][emoji28][emoji28]Hakuna wanawake wastarabu na wife material kama wa huku JF
Kwanza hatuna show off za mapicha picha...tunajiheshimu mambo ya picha za utupu wanawake hatuna huku
Pili tunajielewa,hilo linajidhihirisha kupitia michango yetu humu
Tatu tunajua yale mambo ya ndani Demiss ni mfano mzuri
SASA JIFANYE UNAJIKUNA...
😂😂[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wanawake wa JF ndio hao hao wa kitaa. Sasa sijui mkija huku mnakauwa malaika[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahahahahaPole sana KakaKiiza
Mara nyingi ukiona thread za hivi huwa mtu keshalizwa! Vumilia kidogo mzee baba!
Heri ya mwaka mpya!