Engineer Hersi Saidi ni nani haswa?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Habari za saizi aise,

Naombeni kwa anajua vizuri CV ya huyu engineer atuambie

1. kazaliwa wapi na lini?

2. Anaasali ya Somalia /Eritrea au Ethiopia?

3.Yeye na mmiliki wa GSM (ghalibu said) wanaundugu?

4. Anacheo gani yanga?

5. Anachokifanya yanga ni moja ya jukumu lake au kiherehere chakee tu?

6. Je, ni muajiriwa GSM au ni moja ya wamiliki?
 
Kwa sisi Wataalamu ..tunamuona Kama mjanja wa mjini,ambaye kwa kutumia Kampuni ya GSM wameona fursa iliyopo Yanga ....wanaitumia!
GSM sio wajinga ....wamebaini kuwa Wapenzi wa Simba na Yanga wanataka furaha kwenye Soka,Tena leo!
Kwa kuwa hakuna mifumo imara ya uendeshaji iliyowekwa wanaamua kucheza na akili za mashabiki!
Ndio maana walimchukua Senzo kwa gharama yoyote!
Na Senzo ,Kama alivyo Morrison alishabaini kuwa Tanzania Kuna ukichaa Cha Soka na Kuna Fedha zinazagaa...ndio maana wanachuma!
Usishangae June 2021 Senzo akatimuliwa!
Deal Done!Wenyewe wanasemaDone Deal!
Na ili kujiweka sawa kibiashara...mwakani Simba watarajie maumivu kwenye usajili!
Haitaji kumjua Ni Nani ...unahitaji kulijua ombwe lilopo kwenye Soka ...linalofanya Wajanja wachume!
Hapa nimezungumzia Yanga tu....upande wa pili Mambo Ni yaleyale ...Kuna Ombwe,linatumiwa ...hata na wenye skill ya kawaida tu Kama Manara!
Tuendelee kula Mtori nyama zimegandamana ' na bakuli chini!
 
Few will understand you
 
Hizi team yanga na simba ni makubwa jinga...zinafanyiwa kila kitu na watu wenye hela .kimsingi wanachotaka ni jina tu..

Miezi 8 nyuma nani alimjua Said Hersi..angeweza kuingia yanga akafukuzwa ila sasa anabebwa kama mkoloni.

Hivyo basi timu hizi hazijitambui na hilo ni tatizo la miaka mingi kwa timu hizi.

..zingejitambua zingekua mbali mnooo.
Kwa base ya fans wao.

Waulize leo kama wanajua wana mashabiki/ wanachama wangapi?? Waulize kwanini hawana hata maduka ya kuuza jezi au skafu zao...waulize kama wana japo hostel za prayers au viwanja
.Simba kajengewa juzi na MO since 1936. WALE Simba au Yanga wangekua na Maono wangekua mbali mnooo mnooo..
Kwasababu wana brand inayopendwa sana.Aibu ssna Yanga wanasajili mchezaji na mbwembwe wakimleta wanaenda nae Law school uwanja sio wao wala hata hawajajua pitch ikoje levels na ubora hilo hawajui. NI SHIDA SANA

Yanga wanajaza vifusi pale kwenye mafuriko..yaani ni ubabaishaji juu ya ubabaishaji
 
Tunakukumbuka mzee Akilimali, umeondoka sasa hivi tumevamiwa
images%20(6).jpg
 
Huyu mzee alisaidia nini timu mda huo. Sawa yapo lakini kwa sasa hawakuwa na msaada kabisa. Awekwe pahala anapo stahili na Mola wake.
Mkuu hata huelewi huyu Mzee alikuwa na maono Ila ndo hivo alizidiwa na ujinga na Wajinga!
 
Jeuri anayo fanya GSM kwenye mpira imewachanganya sana Mbumbumbu fc. GSM walishatoa angalizo Apo awali wakisema uwezo wa kusajili wachezaji daraja (A) kwa apa Afrika hawana Ila daraja (B) wanao na nimkweli wametimiza walicho sema. Upande wa pili wanapambana kusajili wakina Josh Onyango na wachezaji walio huru.
 
Habari za saizi aise,

Naombeni kwa anajua vizuri CV ya huyu engineer atuambie

1. kazaliwa wapi na lini?

2. Anaasali ya Somalia /Eritrea au Ethiopia?

3.Yeye na mmiliki wa GSM (ghalibu said) wanaundugu?

4. Anacheo gani yanga?

5. Anachokifanya yanga ni moja ya jukumu lake au kiherehere chakee tu?

6. Je, ni muajiriwa GSM au ni moja ya wamiliki?
Unataka umuozeshe dada yako?
 
Jeuri anayo fanya GSM kwenye mpira imewachanganya sana Mbumbumbu fc. GSM walishatoa angalizo Apo awali wakisema uwezo wa kusajili wachezaji daraja (A) kwa apa Afrika hawana Ila daraja (B) wanao na nimkweli wametimiza walicho sema. Upande wa pili wanapambana kusajili wakina Josh Onyango na wachezaji walio huru.
Huyo muangola alikuwa na mkataba, Tusyenge mnayetaka kusajili alikuwa na mkataba na yule mchezaji mmoja mliyechukua toka kongo ana mkataba na yule mburkinafaso mnayekesha airport ana mkataba ndio maana mliambiwa hamjui mpira mko kama manyani kazi kubweka kama mbwa uneducated
 
Mbona unafoka sana mkuu
Kwa kifupi hizi timu zinafanana tu.
 
Wote simba na yanga janja janja tu..
Usajili wa simba hata hatua ya makundi CAF kufika ni ndoto;
Angalia sajili za AS VITA mdo utaelewa hapa twasajili kwa ajili ya kucheza na gwambina na prison
Kweli mkuu
Kuna boss mmoja wa timu flani anatamba eti walipata ofa ya dola laki 5 ya mchezaji anataka kununuliwa na wameikataaa sasa nikajiuliza kama umewekeza katika timu na hutaki kuuza wachezaji sasa faida unapata vipi?
Maana biashara ya mpira ni kununua wachezaji wenye vipaji kwa bei nafuu na kuuza kwa bei ya juu na ndo utaona hata Dortmund, Ajax wanafanya hivo.
 
Back
Top Bottom