Hi wadau
ninayo Suzuki ambayo inasumbua sumbua na nimepata wazo la kununua engine complete na geer box. Suzuki yenyewe in Milango 3 na ipo moshi.
napendelea engine automatic iliyokwenye hali nzuri kwani itakaguliwa na fundi na iwe na cc Kati ya 1200 na 1450