engine ya kichina kwenye pikipiki

issawema

JF-Expert Member
May 30, 2013
776
643
wakuu habarini kuna pikipiki nstaka kununua ni xlr ila nimeambiwa engine yake ni yakichina sasa sijajua hasara ntakazopata nkiws na hii engne na pia me ni mgeni wa pikipiki kabla cjaenda kwa mtu yyte kuo. ba ushauri nmeona nianzie kwenu

NB bei ipo chini kdgo ya hyo pikipiki na mimi matumizi yangu ni kuzungukia tuu hapa mjini
 
Back
Top Bottom