Engine ya free lander

Engine ya free lander

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
Habari zenu wakuu, msaada engine ya free lander inafutwa..urgently. Msaada naweza kupata/kuagiza wapi - kindly see attached card for more details
 
Attachments

  • IMG-20170729-WA000777.jpg
    IMG-20170729-WA000777.jpg
    26.6 KB · Views: 44
Funga tu ya Rav 4 au gari yeyote inayozungusha difu ya nyuma. Pale kwenye mounting wanafanya modification engine inakaa pamoja na gearbox yake, let say ukifunga engine ya Toyota Hiace ya Petrol ya CC2400, Then kule kwenye properller inayozungusha diffu watafanya modification ziingiliane...
 
Habari zenu wakuu, msaada engine ya free lander inafutwa..urgently. Msaada naweza kupata/kuagiza wapi - kindly see attached card for more details
Funga ya toyota IZZ hua inafungwa kwenye rav 4 za cc 1800

ploudly ngosha
 
Back
Top Bottom