Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,316
- 24,183
Wakuu, kitu kimepikwa kikapikika!
Juhudi za Mh Magufuli zilizozaa matunda.
Daraja hizi mbili nasikia zinaitwa Eng Patrick Mfugale Flyover.
Kwani daraja la mkapa Mkapa alitoa hela za kujenga?Huyo Eng. Mfugale ndio ametoa pesa za kujenga hiyo Flyover?
Ndiye aliyepambana kuhakikisha daraja hilo linajengwa.Kwani daraja la mkapa Mkapa alitoa hela za kujenga?
Jibu mujarabu kabisaKwani daraja la mkapa Mkapa alitoa hela za kujenga?
Ila hakutoa hela zakeNdiye aliyepambana kuhakikisha daraja hilo linajengwa.
Original plan ya hapo ilitakiwa hizo daraja?
Jibu murua kabisa.Kwani daraja la mkapa Mkapa alitoa hela za kujenga?
Jibu unalo kwenye username yakoIla hakutoa hela zake
Hapana ila ni jamaa wa karibu sana wa Magu. Bila shaka ndio Mkurugenzi mtendaji wa Tanroads.Huyo Eng. Mfugale ndio ametoa pesa za kujenga hiyo Flyover?
Eng Patrick Mfugale kwa kuongozwa na Mh Magufuli wakiwa Wizara ya Ujenzi walipigana sana kupata ufadhili wa mradi huu.Huyo Eng. Mfugale ndio ametoa pesa za kujenga hiyo Flyover?
kwani Daraja ni nini!??Hivi ni flyover au daraja?
A flyover is a structure which carries one road over the top of another road.Hivi ni flyover au daraja?
A bridge is a structure that is built over a railway, river, or road so that people or vehicles can cross from one side to the other.kwani Daraja ni nini!??
We unaweza kuwa mtu wa mbali na bosi wako??Hapana ila ni jamaa wa karibu sana wa Magu. Bila shaka ndio Mkurugenzi mtendaji wa Tanroads.
Hujui system inavyokwenda, rudi darasani ukajifunze upya.We unaweza kuwa mtu wa mbali na bosi wako??