ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Yanga sio sehemu ya wanafunzi kufanya field
Folz sio coach Bali ni tapeli tu
Binafsi simhukumu Kwa matokeo ya Leo huko Mbeya, Mimi kama mwanamichezo naelewa hayo ni matokeo ya kawaida katika ligi
Huyu coach ni tapeli ana bahatisha
Kwa foundation course yangu ya coaching hizi ndo mbinu maarufu,
1 counter attacks
Timu ijilinde halafu ishambulie Kwa kushitukiza, Coach hata hii mbinu ya Ibenge haijui, timu inafikika na haiwezi kushambulia Kwa kushitukiza
2 High pressing
Hii mbinu ya clop, yaani ishambulie juu na ulazimishe mabeki na Viungo wafanye makosa upate ushindi.
Coach tapeli Folz hawezi hili
3 tik tak and total football
Kupiga pasi fupi na wachezaji kubadilishana nafasi Kwa haraka na hivo kumfanya mpizani achoke na aachie mianya ya kufunga.
Sasa huyo Boyeli amesimama kama sanamu la posta, mabeki wanaosha tu.
Tuta battle vipi na timu kama Pyramid, Orlando, RS Berkane n.k
4 wing play
Yanga Kuna mawinga wengi, Coach alipaswa kutanua uwanja Kwa kuwapa nafasi akina Chikola, Farid na Max yeye akamwingiza tapeli Kouma kiungo konokono kuharibu mechi
5 Overlapping Fullbacks
Hata hii mbinu inamshinda kuweka Viungo na kuruhusu fullbacks kupanda kuongeza nguvu
Boka na Mwenda ni kama wazurulaji uwanjani, yaani Coach hawapi hukumu lolote
6 low block, middle block, high block
Yanga haina hata hii mistari 3 uwanjani hai link kabisa
Yaani hakuna kiungo mbunifu wa kupiga pasi za kuvunja line hata 1 ya mpizani
7 .Zonal marking and playing
Wachezaji kuwa kwenye maeneo yao.
Hii mbinu ya kizamani lakini coach tapeli Roman Folz haiwezi kuitumia
8 Diamond midfield
Una Andabwile na Abuya mechi yenyewe ya Mbeya City utashindaje mechi Kwa hofu hii
Halafu juu una max ambaye anakaba zaidi ya ku link timu na akina na Pacome, Doumbia na Boyeli juu.
Hivi huyu Coach tapeli atashinda mechi Gani?
Ataweza mbinu Kali za Coach Ibenge, Ahmad Ali wa JKT, Gamondi wa SBS au Nabi anayekuja Simba