Eng. Christopher Chiza, ashinda kura za Maoni CCM Kakonko. Sasa kuwania Ubunge wa Buyungu

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Hongereni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya ya Kakonko kwa kumaliza salama Mkutano mkuu wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi ya kumpata mgombea atakaye peperusha bendera ya CCM Kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la Buyungu.

Matokeo yapo hivi;

1.Eng. Christopher Chiza kura 145
2.Aloyse Kamamba kura 46
3.Emmanuel Gwegenyeza kura 41

Aliyeshinda ni Chiza kwa kura 145. Sasa kupambana na Wagombea wa vyama vingine.

=====

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Kakonko wamemaliza Mkutano wa kura za maoni kumpata mgombea atakayepeperusha bendera ya chama Kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la Buyungu

Eng. Chiza amepitishwa kuwa mgombea kupitia CCM
IMG_20180706_184454.png
 
Akishinda ubunge ana nafasi kubwa ya kuwa sehemu ya Cabinet
 
Hongereni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya ya Kakonko kwa kumaliza salama Mkutano mkuu wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi ya kumpata mgombea atakaye peperusha bendera ya CCM Kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la Buyungu.

Matokeo yapo hivi;

1.Eng. Christopher Chiza kura 145
2.Aloyse Kamamba kura 46
3.Emmanuel Gwegenyeza kura 41

Aliyeshinda ni Chiza kwa kura 145. Sasa kupambana na Wagombea wa vyama vingine.

=====

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Kakonko wamemaliza Mkutano wa kura za maoni kumpata mgombea atakayepeperusha bendera ya chama Kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la Buyungu

Eng. Chiza amepitishwa kuwa mgombea kupitia CCM
View attachment 803821
Kakonko ndio wapi huko?
 
Hivi Tanzania kuna uchaguzi au kuna maagizo ya kumpitisha fulani wa CCM??very shameful
 
uchaguzi mdogo ni ngumu sana vyama shindani kushinda ingawaje huu natabiri watachukua
 
Hongereni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya ya Kakonko kwa kumaliza salama Mkutano mkuu wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi ya kumpata mgombea atakaye peperusha bendera ya CCM Kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la Buyungu.

Matokeo yapo hivi;

1.Eng. Christopher Chiza kura 145
2.Aloyse Kamamba kura 46
3.Emmanuel Gwegenyeza kura 41

Aliyeshinda ni Chiza kwa kura 145. Sasa kupambana na Wagombea wa vyama vingine.

=====

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Kakonko wamemaliza Mkutano wa kura za maoni kumpata mgombea atakayepeperusha bendera ya chama Kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la Buyungu

Eng. Chiza amepitishwa kuwa mgombea kupitia CCM
View attachment 803821
Huyo anajisumbua tu , CCM ya akina polepole inayo majina ya mfukoni .
 
C. Chiza alikua mzigo enzi za utawala wake,
Kamamba anafanya kazi nzuri,
Gwegenyeza kila jimbo anataka kugombea.
Hapa CCM nawashauri wampe Kamamba ndo anafaa vinginevyo mtanipa majibu
 
Back
Top Bottom