Plot4Sale Eneo linauzwa Kigamboni Mwasonga, heka 2

Plot4Sale Eneo linauzwa Kigamboni Mwasonga, heka 2

Ni kweli Kigamboni baadhi ya maeneo yamelala sana kama kule Vikunai kuna mapori aisee lakini kuna zile kota za NSSF ndio huwa zinaleta uhai
Vikunai kuna gari za posta kule.. sio shamba tena. Shamba kwa upande ule lipo huko magodani, mwasonga
 
Sasa watachukuliwa hatua vipi wakati wachukuwa hatua ndio wanamiliki hayo maeneo
Kwa ninavyojua kuna sheria zinamtaka mtu aendeleze sehemu yake ndani ya muda kadhaa hata maboma nayo usipoendeleza kwa muda mrefu kuna sheria zinahusika
 
Mods futeni huu uzi..niliahirisha kuuza baada ya kupata kazi serikalini....sasa siuzi tena na nakaribia kuvuta mkopo bank
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom