Eneo linauzwa Bunju A Bagamoyo road

Eneo linauzwa Bunju A Bagamoyo road

  • BTW katika makosa uliyofanya mleta mada Dalali wa mjini ni kutokuleta picha ya eneo husika
  • Hii inaleta wasiwasi kwamba pengine eneo lishauzwa au lina land conflicts, na wewe unataka upeleke tu mteja akupe ile hela ya kuona/kupelekwa site.
Mimi sio dalali wa kuchaj Hela ya kuona eneo.

Hili nililitolea maelezo.Kuhusu mgogoro ufatiliaji upo sababu hakuna kitu kinaweza kujificha
 
Hakuna HATI inayotolewa na Ofisi ya Serikali ya Mtaa,hivyo kusema kiwanja kina Hati ya Serikali ya Mtaa ndio UTAPELI wenyewe,haiwezekani eneo potential kama hilo lisiwe na Hati halali ya Wizara
Hakuna shida mkuu umeeleweka Ila jifanye mteja tendwe ukakague eneo.

Ili ukifika Kwa wenyewe ujilizishe.
 
Million 700 napata nyumba Oysterbay
Sawa nenda ostabey

Watu wananunua alafu wanakuja ingia mkataba na wawekezaji.

Hela Yao wanaenda kununua nyumba ostabey kwako alafu bado Mali inakuwa ya kwao.

Mkataba ukiisha wanavuta mpunga mwingine.

USIWE UNAROPOKA HOVYO MKUU.
 
Sawa nenda ostabey

Watu wananunua alafu wanakuja ingia mkataba na wawekezaji.

Hela Yao wanaenda kununua nyumba ostabey kwako alafu bado Mali inakuwa ya kwao.

Mkataba ukiisha wanavuta mpunga mwingine.

USIWE UNAROPOKA HOVYO MKUU.
Nimekaa huko napajua vizuri, wapo wanaokodisha maeneo yao kwa wawekezaji na wapo wanaouza kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom