Eneo linauzwa Bunju A Bagamoyo road

Eneo linauzwa Bunju A Bagamoyo road

Dalali wa Mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
1,073
Reaction score
1,563
Eneo linauzwa Bunju A
Bagamoyo road.
Eneo linatazama barabara kuu ya Lami.

Wamiliki WA eneo wapo watatu.
Kila mmoja na eneo lake lakini lipo sehemu moja.

Mmiliki mmoja anauza milion 300
Mmiliki wa pili anauza milion 300
Wote Hawa wanapunguza Bei kama mkikubaliana.

Mmiliki wa tatu anauza milion 400
Huyu hapunguzi maana eneo lake ni kubwa Zaidi ya wenzie.

Kwahiyo ukichukuwa Kwa pamoja unapata HEKA MOJA.

Maeneo yote ni ya wamiliki halali hakuna mgogoro wa Aina yoyote Ile.

Hati ni serikali ya MTAA.

NIPIGIE SIMU NIKUPELEKE 0754693556.
 
Hati ni ya serikali ya mtaa? unajua maana ya neno hati?
 
Ana manisha nyaraka za awali za vielelezo kama hati za mauzino n.k.

Hivi huwa vinatambulika linapokuja swala la mgogoro. Heshimu mamlaka
-Lakini kisheria Job description ya mtendaji wa mtaa hana mamlaka ya kushidia mkataba wowote, wenye mamlaka hayo ni Wakili/Hakimu.
-
 
Ukishakuwa mnunuaji unaensa far ahead. Utataka kufika hadi halmashauri kwa maelezo zaidi
-Sure mambo ya Landuse planning Use group and use class.
  • Mambo ya public recreation ground,
  • Road reserve eneo linaweza kuwa ni sehemu ya road reserve
 
  • BTW katika makosa uliyofanya mleta mada Dalali wa mjini ni kutokuleta picha ya eneo husika
  • Hii inaleta wasiwasi kwamba pengine eneo lishauzwa au lina land conflicts, na wewe unataka upeleke tu mteja akupe ile hela ya kuona/kupelekwa site.
 
Eneo linauzwa Bunju A
Bagamoyo road.
Eneo linatazama barabara kuu ya Lami.

Wamiliki WA eneo wapo watatu.
Kila mmoja na eneo lake lakini lipo sehemu moja.

Mmiliki mmoja anauza milion 300
Mmiliki wa pili anauza milion 300
Wote Hawa wanapunguza Bei kama mkikubaliana.

Mmiliki wa tatu anauza milion 400
Huyu hapunguzi maana eneo lake ni kubwa Zaidi ya wenzie.

Kwahiyo ukichukuwa Kwa pamoja unapata HEKA MOJA.

Maeneo yote ni ya wamiliki halali hakuna mgogoro wa Aina yoyote Ile.

Hati ni serikali ya MTAA.

NIPIGIE SIMU NIKUPELEKE 0754693556.
Ok
 
Kaka dalali mbona ujaweka ukubwa wa viwanja?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom