Plot4Sale Eneo la shule linauzwa Goba

Plot4Sale Eneo la shule linauzwa Goba

Sonship

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
269
Reaction score
346
Eneo hili la shule linauzwa

Ukubwa wa eka moja na robo

Lipo Goba kwa Ndambi Eneo ambalo mteja anaweza kujenga hata apartments kwa Goba zinalipa sana.

Hapo ni Goba jirani sana na Mbezi Beach Masana

Bei ya kutupa Tsh 650m/- mazungumzo yapo

*Lina hati halali

Anauza kwa hasara sana ili atatue changamoto yake.

Call 0675 065906

Serious buyer only please!!


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom