Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,466
- 4,967
Mgahawa/ Bar ipo maeneo ya sinza mugabe. Kodi ni laki tatu na nusu maongezi yapo. Unakodishiwa viti pia na eneo ni kubwa la kutosha.
Iyo ndio faida yenyew unampa mweny pango emu punguzeni kodiWadau hii ni bonge ya offer. Unapata eneo, lina parking, kuna viti tayari na jiko liko vizuri kabisa. Ni sehemu iliyochangamka sana. Kwa 350,000 tu kwa mwezi.
Sehemu hujaiona unaanza maneno haya njoo na laki😂 yani sehemu umejengewa na gazebo kabisa, jiko na counter umetengenezewa na bado unataka kwa elfu 50. Ila Watanzania🤣Iyo ndio faida yenyew unampa mweny pango emu punguzeni kodi
vipi unachukuwa kodi ya miezi mitatu?Sehemu hujaiona unaanza maneno haya njoo na laki😂 yani sehemu umejengewa na gazebo kabisa, jiko na counter umetengenezewa na bado unataka kwa elfu 50. Ila Watanzania🤣
Mzeya mbona namba haipokelewi?Yes. Piga 0654465446