Eneo "Korofi" Kuelekea Kijichi

Ooyooo nahau subira ya vuta heri ni muda mfupi tunatarajia mgeni au baba wa dunia anakaribia kuja kukamilisha ile ahadi ya ndoa ya jinsia mbili na hapo ndo utaona kazi mdundo mdundo mchana na usiku na itakuwa mpya kabisa

nina vyeti tayari vya hiyo ndoa
 
haya kipi tena chakushusha kwikwi
Kinachonishusha kkwiii, sisi watu wa pwani tunaita kijichi ni toothpick na nyie watu wa bara mnaita kijiti, sasa nikufahamishe kidooogo ili ufahamu nini kijichi (toothpick) maana sijui kama utafahamu kwa kuwa ni mzito mno kuelewa, kijichi ninachokikusudia ni kijichi kilchopo au kipo Mbagalllaaaaa :smile-big::smile-big::smile-big:
 
Back
Top Bottom