Eneo "Korofi" Kuelekea Kijichi

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,136
2,000
hapo ukipita chicha inakula kwako picha 1.JPG
 
Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,136
2,000
Kijichi ya Mtoni au Mbagala kuu?

[h=3]BARABARA KIJICHI - MBAGALA KUU NI HATARI ZAIDI YA HATARI![/h]

Barabara ya Kijichi – Mbagala Kuu, ndani ya jiji la Dar es Salaam kama ilivyokutwa jana na Mdau Nathan Mpangala. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Butiama, Bw. Haji Mgaya, alisema, dhahma hiyo ni ya muda mrefu na Manispaa ya Temeke ina taarifa hiyo kwa kupindi chote hivyo,lakini mpaka leo iko kimya tu.Hapa dereva ‘akilala' tu, kilio kitongoji kizima zikifuatiwa na salamu za rambirambi nyiiingi toka kwa viongozi.
 
theki

JF-Expert Member
Nov 1, 2013
2,724
1,195
Huu mji kila sehemu ni hatarishi bora hata hapo panaonekana.Kuna sehemu utadhani njia yakwenda samunge mf pale posta kama unaingia njia ya haidary plaza umetokea hotel ya holiday Inn mzinga wa mshimo kimo cha mbuzi.
 
Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,136
2,000
Huu mji kila sehemu ni hatarishi bora hata hapo panaonekana.Kuna sehemu utadhani njia yakwenda samunge mf pale posta kama unaingia njia ya haidary plaza umetokea hotel ya holiday Inn mzinga wa mshimo kimo cha mbuzi.

kuna mtu alisema heri angekua paka ulaya
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
28,283
2,000
Ina maana hakuna mkuu wa wilaya au wasaidizi wa wilaya wa kuripoti hadi waumbuliwe na waandishi wa habari
 
CHAZA

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
7,427
2,000
Huu mji kila sehemu ni hatarishi bora hata hapo panaonekana.Kuna sehemu utadhani njia yakwenda samunge mf pale posta kama unaingia njia ya haidary plaza umetokea hotel ya holiday Inn mzinga wa mshimo kimo cha mbuzi.

Juz nilipita pale, jamaa na kisuzuki carry kililiva shimo, nadhani ni Manhole, maana body yote kwa mbele ilizama, ilikuwa shida kuliondoa maana lilizama mbele lote!
 
makubazi

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
2,048
1,195
Ooyooo nahau subira ya vuta heri ni muda mfupi tunatarajia mgeni au baba wa dunia anakaribia kuja kukamilisha ile ahadi ya ndoa ya jinsia mbili na hapo ndo utaona kazi mdundo mdundo mchana na usiku na itakuwa mpya kabisa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom